KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Katika machache mazuri aliyofanya Magufuli, hili ni mojawapo zuri sana.Madini ya tz ndiyo yalikuwa yanawafanya mamilionea sasa magu kablock mmefilisika pimbi nyinyi ndiyo maana matajiri wanapungua because tz is no free launch for kunya anymore
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu lazima ni mwanafunzi wa profesa lipumbaa siyo bure siyo kwa akili ndimu hizi za kupanda Gari ya tajiri kisha na wewe kujiona tajiri Kenya is nothing kwenye uchumi washukuru wawekezaji mafisadi wa kigeni kwa kuifanya nchi teule hapa Africa other wise mambo yangekuwa si mambo mfano asilimia 80% ya familia Nairobi awamiliki nyumba zao wenyewe wamepanga kwa slum ambazo ni mabanda ya mapati na mapipa
Hii 'model' ya maendeleo ya Kenya watu hawaielewi kamwe.
Nchi sasa inatengenezwa kuwa kama 'outpost' ya wakubwa. Kuja kufanyia shughuli zao na kupeleka faida nyumbani.
Furaha wanayobaki nayo wananchi, eti ni hizo ajira, mishahara ya mshona nguo za kuuza Marekani kwenye 'Special Economic Zone', faida inayopatikana anapeleka kwao. Kodi halipi, au analipa kidogo sana!
Akina Del Monte na wengine wenye mashamba makubwa makubwa, kama wangekuwa na njia za kuwafanya wasaidie maendeleo ya wananchi, baadhi yao ambao walinyang'anywa mashamba hayo, wanachi hao hali zao zingekuwa zimebadilika vya kutosha,; lakini wapi, Del Monte kila mwaka anatengeneza mamilioni yake, kiasi kinachobaki Kenya ni kidogo sana.