Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Wacha kukwepa, lete link ya Knightfrank yenye kuonyesha kwamba mwaka 2018 Kenya ilikua na matajiri wengi kuizidi Tanzania, link ya Knight frank ni "www. Knightfrank.com". Hiyo ya "www. Knightfrank.co.ke", sio Original, hiyo ni made in Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia lete data za 2013-2017 hzo oeiginal unazodai kutoka knight frank zitofautiane na hzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio jukumu langu kuifanya hivyo, ninyi mnaosema kwamba data za 2018 zinatofautiana na hizi za sasa ndio wenye jukumu la kuthibitisha hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi mbna umesema tumepika wenyewe, hyo ina maana unapinga data nilizoleta mimi zinazohusu idadi ya mamilionea 2013-2014...

Sasa wewe leta dat sahihi ili kupinga hoja yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We aren't done yet! Tanzania leads in Tourism the whole east Africa combined
 
Hivi huwa vinalinganishwa vitu gani?

- Kodi zinazokusanywa?

- Mauzo yanayofanywa?

- Pato la kila mtu?

- Mali zinazozalishwa na faida inayopatikana kubaki nchini, au kupelekwa nje ya nchi?

-Wingi wa matajiri, au maskini?

Katika vigezo hivyo, kuna uhakika wowote wa usahihi wa takwimu zinazotumika?

Kwa mfano:

Mwaka 2015/16 GDP ya Ethiopia ililipotiwa kuwa imeipita ile ya Kenya kwa mara ya kwanza, na imekuwa hivyo kwa miaka kadhaa hadi mwaka jana, 2019, ambapo inasemekana GDP ya Kenya imepanda zaidi na kuipita ile ya Ethiopia, na kwa hiyo Kenya kuwa kinara tena katika eneo hili la Mashariki kwa kuwa na pato kubwa, nadhani kwa kuwa na GDP ya $99 Billioni, huku ile ya Ethiopia ikibakia kuwa $91 Billion!

Na wakati huo huo, kila mwaka tokea 2015 uchumi wa Ethiopia ukiwa unakuwa kwa wastani wa zaidi ya asili mia 7, na ule wa Kenya haujazidi 5.6?

Hapo ndipo huwa natokwa na maluilui katika uelewa wa haya mambo ya hizi takwimu za uchumi!

Sina tatizo na uelewa wa takwimu, kwa sababu huzitumia mara nyingi sehemu zinazonihusu, lakini hizi za uchumi, naona ndio kiboko yangu.

Kenya is heavily invested, kwenye upande huu wametuacha mbali SNA, i can guarantee you we might not even catch up with Kenya upande wa uchumi wa nchi, not this time soon, most of there companies are onto continental standards
 
Basi mbna umesema tumepika wenyewe, hyo ina maana unapinga data nilizoleta mimi zinazohusu idadi ya mamilionea 2013-2014...

Sasa wewe leta dat sahihi ili kupinga hoja yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka data za Knightfrank ulizosema zinatofautiana, mbona unaleta data za "sources" tofauti?, Knightfrank link yao ni "www. Knightfrank.com", sasa wewe umeleta source tofauti na bado unadai kwamba wamejichanganya, kivipi?.

Weka data za Knight Frank za mwaka jana na mwaka huu kutoka link yao original ili tulinganishe, otherwise endelea kusikilizia maumivu. Tanzania has the highest number of $Millionaires in east and central Africa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya is heavily invested, kwenye upande huu wametuacha mbali SNA, i can guarantee you we might not even catch up with Kenya upande wa uchumi wa nchi, not this time soon, most of there companies are onto continental standards
What do you mean by the word "heavily invested", if you consider the following :
1)Kenya unemployment rate is the highest in the region
2)Kenya is the most heavily indebted country in the region
3)Kenyans are the most heavily taxed citizens in the region
4)Kenya has the biggest economic gap between poor and elites
5)Kenya is the only country in Africa without civil war but citizens die of hunger daily and depend on food donations
6)Kenya is the home of biggest slums in the World?

Bwahahaaa!!usikwepe mada hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbna unarukaruka...
Nimekwambia km unapinga hzo data nilizoleta na ukasema eti zimepikwa sasa wewe lete data tofauti na hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Screenshot_20200310-100918_Samsung%20Internet.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwahahaaa!!usikwepe mada hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbna unarukaruka...
Nimekwambia km unapinga hzo data nilizoleta na ukasema eti zimepikwa sasa wewe lete data tofauti na hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...View attachment 1393854

Sent using Jamii Forums mobile app
Sipingi, ila ninachopinga hizi sio za Knightfrank original, hii ni Knightfrank ya Kenya, data zake zinatofautiana na hii Knightfrank international. hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya is heavily invested, kwenye upande huu wametuacha mbali SNA, i can guarantee you we might not even catch up with Kenya upande wa uchumi wa nchi, not this time soon, most of there companies are onto continental standards
Mkuu 'stakehigh', usidanganywe .
Fuatilia na jifunze kwa karibu zaidi utagundua udhaifu uliopo katika mfumo wa uchumi wao.

Sasa hapo umeni-'quote', lakini hukueleza ni kipi hasa unachoona kwao "walichotuacha mbali sana"?

"Guarantee" unayonipa ni ipi, kwamba uchumi wa Tanzania "might not even catch up with that of Kenya?

Unajua uchumi wa Ethiopia ulipokuwa miaka kumi tu iliyopita kulinganisha na huo unaokushangaza wa Kenya?

Which "companies are onto continental standards'? KCB, Equity Banks?, what else? Safaricom? Ni kipi hapo cha kushangaza?

What clearly comes through reading your two lines above, is that you are highly ignorant or misinformed about the nature of their economy.
 
thatsnot my point! Alot of threads here Tz vs Kenya but ukifuatilia vizuri kenya has been making headlines sana katika continental forums! nkupe mfano, science and technology kenya leads in Africa, not even south Africa can stand against kenya upande huu: Do you even know most TECH HUBS are in kenya? recently they have a project of building a tech city in nairobi, huu ni mfano wa investment moja tu

sasa rudi kwa tanzania! which headlines has tanzania made in africa? we are only known for tourism kwa zaidi hakuna kingine? kenya has a diversfied its economy. Tanzania 80% wanategemea kilimo, so who is winning here? nmetoa tu mfano mmoja wa tech, angalia sector zingine, mfano media,banks utaona kabisa tz we have a long journey, and keep in mind most of these bussiness are run by kenyans mostly, angalia investment ya kenya kwa tz! its huge, do you even know precision air is owned by KQ? at once it was considered a dominant player on the aviation industry

sasa ukiangalia hii trend utaona tanzania ni wapenzi watazamaji na tukipewa shavu ama mdomo zaidi na serikali katika international headlines, we still have a long way to go kuanzia elimu mpaka watu kujitambua wapo dunia gan, i cant say we are not doing good but just compare yourself on these few sectors nmezitaja utaona safari tulionayo!

Juzi juzi bbc kulikua na battle ya who will rule africa economy in the comming 10 years. only two nations were battling NIGERIA vs KENYA! u can clearly see the force kenya has on this continent, challenges zipo ndio najua, corruption and mengi zaidi lakini bado uchumi wa kenya una nguvu sana! i have dealt with tech most of my life and most conference tumefanya nairobi, sjawahi attend ata conference ya google tanzania!
 
Back
Top Bottom