komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kenya billionaire wako jomba, ila watu wanaishi kijanja sana, kw mfano anagalia networth ya uhuru kenyatta since 2011 ni $500m mpaka sasa eti haijaongezeka wala kupungua...
Sent using Jamii Forums mobile app