Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

..Udikteta haufai ndiyo maana tumekwama.
Huwezi sema Rwanda wamekwama, Singapore, Malaysia, China etc, zote hizo zilikuwa na na kiongozi mmoja kama dikteta waliamua kumuongezea muda, hata US walikuwa na rais waliamua kumuongezea awamu sababu ya performance yake, huwezi sema bongo hakuna Uhuru wa kujieleza wakati tunawaona kina zito etc wakisema watakavyo, afu kila kitu kina mipaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Udikteta haufai ndiyo maana tumekwama.
Tumekwama wapi ss, hapa Tz kuna viashiria vya maendeleo ya kweli japo kuna watu wachache wanapinga lkn hio co shida cz hata USA ilipotaka kuunganishwa kuwa moja wapo waliopinga, huwezi kukubalika na watu wote lazima hili lieleweke, binafsi ckumpigia kura raisi Magufuli, niliamini hawezi lkn baada ya miaka miwili nikaelewa anachofanya japo kuna kasoro zipo ila direction ni nzr regardless nko kwny situation gn kwa ss na huu ndio ukweli, haya mambo anayofanya Magu yapo baadhi ya viongozi wa upinzani walikuwa wakiyahubiri lkn yapo mengi ambayo hawajawahi hata kuyawaza kwmb yanawezekana hili lazima tukubali na tukishindwa kukubali hata mawe yapo yatasadiki mambo mazuri yanayoendelea nchini.
 
Huwezi sema Rwanda wamekwama, Singapore, Malaysia, China etc, zote hizo zilikuwa na na kiongozi mmoja kama dikteta waliamua kumuongezea muda, hata US walikuwa na rais waliamua kumuongezea awamu sababu ya performance yake, huwezi sema bongo hakuna Uhuru wa kujieleza wakati tunawaona kina zito etc wakisema watakavyo, afu kila kitu kina mipaka

Sent using Jamii Forums mobile app

..huwezi pia kusema kuwa Tz, Uganda, DRC, etc etc hazijakwama kwa kuongozwa na madikteta.
 
Tumekwama wapi ss, hapa Tz kuna viashiria vya maendeleo ya kweli japo kuna watu wachache wanapinga lkn hio co shida cz hata USA ilipotaka kuunganishwa kuwa moja wapo waliopinga, huwezi kukubalika na watu wote lazima hili lieleweke, binafsi ckumpigia kura raisi Magufuli, niliamini hawezi lkn baada ya miaka miwili nikaelewa anachofanya japo kuna kasoro zipo ila direction ni nzr regardless nko kwny situation gn kwa ss na huu ndio ukweli, haya mambo anayofanya Magu yapo baadhi ya viongozi wa upinzani walikuwa wakiyahubiri lkn yapo mengi ambayo hawajawahi hata kuyawaz kwmb yanawezekana na mkishindwa kuamini hata mawe yapo yatasadiki mambo mazuri yanayoendelea nchini.

..kila siku mnazungumzia " viashiria ."

..mimi sijaridhika kwasababu naona vijana wengi hawana ajira, na kilimo hakikui ktk rate inayotakiwa ili tutoke ktk mkwamo.

..miradi[ stieglers, sgr, atcl] yake mikubwa ni ya muda mrefu na hatuna uhakika kama italeta tija.
 
Umeona ss huo ndiyo ubinafsi wa muafrika anajifikiria yy kwnz, kuhusu viashiria lazima tuanze na viashiria kwnz zen ndo ije picha kamili, kuhusu ukosefu wa ajira hata mm kuna wakati unanisumbua lkn nitafanyaje wkt matatizo haya tumeyalithi kutoka enzi zilizopita, ajira zilikuwa zinapewa kwa wakina fulani fulani sisi tusio na connection ilikuwa inakula kwetu, lkn kwa ss juhudi zinafanyika suala la kuwa na tija au kutokuwa na tija ni suala la kusubiri na kuona.
 
Umeona ss huo ndiyo ubinafsi wa muafrika anajifikiria yy kwnz, kuhusu viashiria lazima tuanze na viashiria kwnz zen ndo ije picha kamili, kuhusu ukosefu wa ajira hata mm kuna wakati unanisumbua an lkn nitafanyaje wkt matatizo haya tumeyalithi kutoka enzi zilizopita, ajira zilikuwa zinapewa kwa wakina fulani fulani sisi tusio na connection ilikuwa inakula kwetu, lkn kwa ss juhudi zinafanyika suala la kuwa na tija au kutokuwa na tija ni suala la kusubiri na kuona.

..hivyo viashiria nimeanza kuvisikia tangu enzi za Mwalimu Nyerere.

..I have seen enough in this country, na kinachoendelea sasa hivi ni kurudia makosa.
 
..hivyo viashiria nimeanza kuvisikia tangu enzi za Mwalimu Nyerere.

..I have seen enough in this country, na kinachoendelea sasa hivi ni kurudia makosa.
Kwmb Mwalimu Nyerere aliwekeza kwny treni ya umeme, bwawa kubwa km la jnhp, ndege nyingi namna hii, kwmb kipindi hicho kulikuwa na sera za kutosha kwa ajili ya utalii kwmb kulikuwa na miundombinu mingi km saivi c ndiyo
 
..huwezi pia kusema kuwa Tz, Uganda, DRC, etc etc hazijakwama kwa kuongozwa na madikteta.
Zimekwama kiaje, fafanua neno kukwama. Mbona world bank na hizi wealth report zinareport positive. Hizo zinazoongozwa na wanademokrasia like your favourite Kunyaland, mbona reports zinasema matajiri wao wanafilisika. Ni kukwama kupi huko unakokuongelea, sababu mtu mwenye akili timamu siyeendeshwa na mihemko hawezi kufananisha DRC na Tz, au Ug na Tz, inazidi dhihirisha, wewe ni pure hater, not a constructive criticizer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona nakujadili ujue sioni hoja yenye mantiki uloandika, ya kukujibu, huwaga ni hogwash, huyo nilomjibu anajua fika nilichomwambia, wewe tuliza makende yako, tena ww ndio ukae kimya, ww ulileta habari ya Uongo kuhusu hawa dollar millionaires. Afu unataka nisi attack people like you nijadili hoja, hoja za urongo? Hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuata kwenye huu uzi kwa mara ya kwanza kidogo umekua mustaarab, umejitutumua kujadili hoja sio kuwajadili wanaume wenzako.
La sisi kuwazidi kwenye idadi ya milionea bado lipo na unalijua, sema unachokifanya ni kama mtu anayejipiga punyeto, huwa anahisi kautamu ka sekunde kadhaa, ila anafahamu huo sio uhalsia.
 
Wakenya wenzako wootee kina Kafrican Nicxie MK254 pingli-nywee Depay wote walipita hii stage salama japo wanamakovu na ss hv wapo kwenye Negotiation stage umebaki pekeako kwny Denial stage na ukijiendekeza ukaendelea kubaki hapa utafunga account jf we shauri yako.
Nani kakubali hapa, mlishindwa kuelezea kitu simple sasa unabidii kuenda ukidanganya watu kwa kuingiza maneno kwa midomo yao?
 
Naswashangaa sana watu wanaofikiri ni ajabu TZ kuwa na.dollar mamillionires wengi kuliko KE.

Tembelea Chunya, Geita, Mwanza, Tunduru, Mirerani huko kuna masoko makubwa ya madini kila mwezi wanauza tonnes za madini mbalimbali. Siku hizi hakuna tena kutoroshea madini nchi jirani via njia za panya.

Vijana wenye nia wanatengeneza pesa kwenda mbele, dollar million moja sio kitu cha ajabu.

Na huu ni mwanzo tu kwa trend hii hao dollar millionaires wata triple in the very near future.

Kwn hayo masoko yalianza leo[emoji1787][emoji1787]
Km mmeshindwa kuelewa simple mathematics ndio mtakuja mjue haya mambo yanaendaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwn hayo masoko yalianza leo
emoji1787.png
emoji1787.png
Yalianza lini?
 
Tanzania tops East Africa on wealth list

SATURDAY MARCH 14 2020

A street in Tanzania’s commercial capital Dar es Salaam. The number of Tanzanian high-net-worth individuals (HNWI) with $1 million or more worth of assets including their primary residence rose eight per cent to 5,553 from 5,118 in 2018. PHOTO | BEATRICE MATERU | NMG
In Summary
  • Tanzania is the only country in the region to have produced a single individual controlling a net wealth of $1 billion or more, according to the Wealth Report 2020.
  • According to the report wealthy individuals prefer making their money from the equity and property markets.
  • African investors are interested in investing in the UK, US, South Africa, Kenya and Australia.
By JAMES ANYANZWA

East African countries are home to a growing list of wealthy individuals, with Tanzania topping the region in creating dollar millionaires.
The Wealth Report 2020 by real estate consultancy firm Knight Frank shows that Tanzania is the only country in the region to have produced a single individual controlling a net wealth of $1 billion or more, with the number of ultra-high-net-worth individuals (UHNWIs) holding $30 million or more worth of assets including their primary residence rising five per cent to 114 last year, from 109 in 2018.
The report also shows that the number of Tanzanian high-net-worth individuals (HNWI) with $1 million or more worth of assets including their primary residence rose eight per cent to 5,553 from 5,118 over the same period.
In Kenya the number of HNWI declined 15 per cent to 2,900 from 3,399, while the number of UHNWIs declined by 13 per cent to 42 from 48 individuals.
In Uganda, the number of HNWI declined by six per cent to 137 in 2019 from 146 in 2018 while the number of UHNWIs remained unchanged at five individuals.
The report notes that the population of UHNWI in Tanzania will grow by 54 per cent over the next five years while that of Uganda and Kenya will grow by 20 per cent and 14 per cent respectively.

Source:
Tanzania tops East Africa on wealth list
Kwn hayo masoko yalianza leo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWEEEH! Kama uongo vile. Mbona siiamini hii ripoti. Ngoja niwashushie data ntarudi baadae.

======

Inakadiriwa kuwa Mamilionea 499 kwa kiwango cha dola wamepungua nchini Kenya kutoka mwaka jana.

Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 shirika linalofuatilia kiwango cha utajiri binafsi wa watu (HNWI) , Wakenya sita pia walishuka kutoka kwenye kikundi cha watu matajiri sana wanaofahamika kama Ultra High Net- Super (YHBW1) wakiwa na zaidi ya shilingi bilioni 3, na hivyo kupunguza idadi yao na kufikia 42.

Ripoti hiyo imeeeleza kuwa jinsi uchumi wa Kenya ulivyo waumiza watu binafsi matajiri ambao kila mmoja wao alikua na zaidi ya shilingi milioni 100.

Mabadiliko haya yametokea katika mwaka ambao Kenya imepitia kipindi kigumu cha uchumi, ambacho kilisababisha kushuka kwa faida katika kampuni na hivyo watu maelfu ya watu walipoteza ajira.

Mwaka jana wakenya 2,900 waliorothseshwa na HNWI kama watu binafsi wenye kipato cha juu zaidi mwaka jana ambacho kilipungua kwa asilimia 14.6 ikilinganishwa na mwaka 2017.

Zaidi ya miaka mitatu, Kenya ilikabiliwa na sintofahamu ya kisiasa kufuatia uchaguzi wa mwaka 2017, jambo ambalo liliwafanya wawekezaji kuwekeza nchini humo.

Hali mbaya ya hewa pia ambayo iliathiri kilimo- ambacho huchangia ukuaji wa pato la ndani la taifa.

Kushuka kwa idadi ya mamilionea yalikua ni matokeo ya kudorora kwa uchumi, kwa mujibu wa Bw Andrew, mmoja wa watafiti wa ripoti ya utajiri binafsi.

Afrika Kusini iliongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya matajiri binafsi ikiwa na idadi ya watu wenye utajiri wa kupindukia 1,033, ikifuatiwa na Misri ( 764), Nigeria (724) Morocco na Tanzania (114).

Source: BBC
You should take that report with a large grain of salt. Last year there were 6400 dollar millionaires in tanzania na 9400 kenya. this year naona wamepunguza
page 45 utapa report ya last year...
they even had a ka article..
Data compiled by GlobalData WealthInsight exclusively for The Wealth Report showed the number of dollar millionaires in Kenya grew to 9,482 in 2018, increasing by 3.3% from 9,176 in the previous year. The number is projected to increase by 22% to 11,584 individuals over the next five years to 2023, a much faster growth compared to the 13% increase recorded since 2013 (8,400 HNWIs).
Kenya adds 300 dollar millionaires in 2018
then report ya a year later 2900???
hmmmmm
Screenshot_2020-03-16 Download The Wealth Report 2019 - Knight Frank - the-wealth-report-2019 ...png

https://content.knightfrank.com/res.../wealthreport/2019/the-wealth-report-2019.pdf
 
Tanzania tops East Africa on wealth list

SATURDAY MARCH 14 2020

A street in Tanzania’s commercial capital Dar es Salaam. The number of Tanzanian high-net-worth individuals (HNWI) with $1 million or more worth of assets including their primary residence rose eight per cent to 5,553 from 5,118 in 2018. PHOTO | BEATRICE MATERU | NMG
In Summary
  • Tanzania is the only country in the region to have produced a single individual controlling a net wealth of $1 billion or more, according to the Wealth Report 2020.
  • According to the report wealthy individuals prefer making their money from the equity and property markets.
  • African investors are interested in investing in the UK, US, South Africa, Kenya and Australia.
By JAMES ANYANZWA

East African countries are home to a growing list of wealthy individuals, with Tanzania topping the region in creating dollar millionaires.
The Wealth Report 2020 by real estate consultancy firm Knight Frank shows that Tanzania is the only country in the region to have produced a single individual controlling a net wealth of $1 billion or more, with the number of ultra-high-net-worth individuals (UHNWIs) holding $30 million or more worth of assets including their primary residence rising five per cent to 114 last year, from 109 in 2018.
The report also shows that the number of Tanzanian high-net-worth individuals (HNWI) with $1 million or more worth of assets including their primary residence rose eight per cent to 5,553 from 5,118 over the same period.
In Kenya the number of HNWI declined 15 per cent to 2,900 from 3,399, while the number of UHNWIs declined by 13 per cent to 42 from 48 individuals.
In Uganda, the number of HNWI declined by six per cent to 137 in 2019 from 146 in 2018 while the number of UHNWIs remained unchanged at five individuals.
The report notes that the population of UHNWI in Tanzania will grow by 54 per cent over the next five years while that of Uganda and Kenya will grow by 20 per cent and 14 per cent respectively.

Source:
Tanzania tops East Africa on wealth list
Hahaaaa!!bado unaleta zile zile habari za wale jamaa waliojikanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You should take that report with a large grain of salt. Last year there were 6400 dollar millionaires in tanzania na 9400 kenya. this year naona wamepunguza
page 45 utapa report ya last year...
they even had a ka article..
Data compiled by GlobalData WealthInsight exclusively for The Wealth Report showed the number of dollar millionaires in Kenya grew to 9,482 in 2018, increasing by 3.3% from 9,176 in the previous year. The number is projected to increase by 22% to 11,584 individuals over the next five years to 2023, a much faster growth compared to the 13% increase recorded since 2013 (8,400 HNWIs).
Kenya adds 300 dollar millionaires in 2018
then report ya a year later 2900???
hmmmmmView attachment 1389705
https://content.knightfrank.com/res.../wealthreport/2019/the-wealth-report-2019.pdf
Amekimbia[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom