Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

..Uchumi wa Tz bado ni mdogo kulinganisha na wa Kenya.
Yani we jamaa ni mchawi, habari haiongelei uchumi wa nchi.
Yani anything positive abt Tz, you must try to discredit it, mbona hukuwa hivi enzi za JK nn kimekusibu umekuwa ill towards Tz namna hii, lazima kuna mianya yenu imezibwa mahali, maana sio bure, afu mkitukanwa mnalalamika.
Stupid kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As they say, statistics are like a bikini: what they reveal is suggestive but what they leave out is crucial.

Tanzania may have more dollar millionaires than Kenya but it has a smaller economy and a much smaller per capita income. The size of Kenya’s economy is, as at 2019, USD 99.25 billion. Its per capita income was USD 2,010. Compare that with Tanzania’s GDP of USD 62.22 billion and per capita income of USD 1,100.

In view of the above data, the existence of more dollar millionaires in Tanzania than in Kenya points to a badly skewed distribution of wealth.

Miaka ya sabini wakati tunajenga Ujamaa tuliwachukia sana Wakenya. Tuliwaita NYANGAU. Tulilaani sana uchumi wao wa kibepari. Amzingly, ubepari wa Kenya umezaa usawa zaidi kuliko Ujamaa wa Tanzania.

Kushangilia hii ya Bongo kuwa na mamilionea wengi zaidi ya Kenya ni kama kujitekenya mwenyewe na kuangua kicheko kikali.
Ubepari wa Kenya umezaa usawa zaidi ya ujamaa wa Tz. Another stupid comment.
Unapajua kenya ww au unabwabwaja tu.
Duh, nyumbu bhana.
Fanya leta evidence to back up your claims

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeisoma hiyo article ya citizen na nikaona imeandikwa kufurahisha kadamnasi tu. Nahisi hata mwandishi haijui Kenya kabisa. Hata hivyo kuna mahali amekiri mwenyewe kuwa ni kama taarifa za kufikirika, nanukuu; "A lack of robust data to fit into our complex econometric model on certain countries means we had to make assumptions"

Kiukweli uchumi wa Kenya uko juu na wala tusipepese macho. Jiulize kwa nini Kenya ina makampuni zaidi ya 200 yaliyowekeza Tanzania na je Tanzania wana Makampuni mangapi yaliyopo Kenya? Nchi zote za Afrika Mashariki ni soko la bidhaa za Kenya. Uchumi haudanganyi.

Angalia takwimu za bajeti za Afrika Mashariki kwa mwaka 2019/20; Kenya Tsh 66.8 Trilion, Uganda Tsh 23.6 Trillion na Tanzania 30.4, Rwanda Tsh 6.8 Trilion, Burundi 1.8 Trilion na South Sudan Tsh 3.5 Trillion (ambayo jumla ya yote ni Tsh 66.1 Trilion). Picha unayopata ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko nchi zingine zote 4 za Afrika Mashariki yote zikiwekwa pamoja.
Citizen wamecopy and paste from knight Frank wealth report, ww unasema imeandikwa kumfurahisha sijui nani. Hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani we jamaa ni mchawi, habari haiongelei uchumi wa nchi.
Yani anything positive abt Tz, you must try to discredit it, mbona hukuwa hivi enzi za JK nn kimekusibu umekuwa ill towards Tz namna hii, lazima kuna mianya yenu imezibwa mahali, maana sio bure, afu mkitukanwa mnalalamika.
Stupid kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Afu wewe mbona hizi hoja hukutesa hivi, huwa unashndwa kuzijadili kama zilivyo hadi unaishia kujadili wanaozijadili. Maisha magumu sana hayo ya kutukana wanaume wenzako kote, yaani kila bandiko lako ni tusi tu, sio kwenye mada za Watanzania au Wakenya, wewe ni mwendo wa matusi tu.
 
..utawala huu unapenda kusifiwa bila kufanya kazi, au kuonyesha matokeo.

..ukisoma hiyo article imeeleza sababu za mamilionea kupungua huko Kenya.

..tunatakiwa tuchukue TAHADHARI.
 
..Mtani upoo?

..umemuona huyo jamaa yetu?

..yeye amesoma headline tayari anajisifia.

..hiyo article inaeleza kuwa yapo makosa yamefanyika Kenya na huenda yamesababisha mamilionea kupungua.

..the article does not say kwamba kuna mambo mazuri waTz tumefanya ambayo yamepelekea tuwazidi majirani zetu.

..Huo ndio UKWELI na watakaochukia shauri yao.
 
Nipo mtani, naona siku hizi umejikita kwenye masuala ya ndani ya nchi, sikuoni sehemu yoyote inayohusu nje ya Tanzania. Ama ni yale ya "Tanzania first". Halafu naona mnachanga hela kwa ajili ya kina Mbowe, mlifikaje huko, ina maana mumekubali hatia, ambapo basi ni wazi viongozi wenu wa upinzani watakua ni matapeli na watu wabaya ndani ya nchi au kipi kipo nyuma ya pazia.
 
..utawala huu unapenda kusifiwa bila kufanya kazi, au kuonyesha matokeo.

..ukisoma hiyo article imeeleza sababu za mamilionea kupungua huko Kenya.

..tunatakiwa tuchukue TAHADHARI.
Kwa hiyo Knight Frank report wanajaribu kuusifia huu utawala. Utapata tabu sana. I insist, huo ni uchawi, hate yako towards this utawala, brings a lot of questions, haswa nikizingatia ulivyokiwaga pro JK, lazima Kuna mianya yako imezibwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo mtani, naona siku hizi umejikita kwenye masuala ya ndani ya nchi, sikuoni sehemu yoyote inayohusu nje ya Tanzania. Ama ni yale ya "Tanzania first". Halafu naona mnachanga hela kwa ajili ya kina Mbowe, mlifikaje huko, ina maana mumekubali hatia, ambapo basi ni wazi viongozi wenu wa upinzani watakua ni matapeli na watu wabaya ndani ya nchi au kipi kipo nyuma ya pazia.

..Tanzania ya sasa hivi ni ya hovyo sawa na Kenya ya wakati wa Mzee Moi.

..Tumefikaje huko? We made a mistake in 2015. Tulichagua kiongozi asiyependa demokrasi na mkatili.

..Tumekuwa nchi ya ajabu / SKUNKS kuwa chief whip wa opposition camp ktk bunge anapigwa risasi mchana kweupe ktk compound ya serikali na yenye walinzi 24/7. Na baada ya hapo hakuna investigation.

..I never thought waTz tunaweza kuwa WAKATILI kiasi hiki.

..Hawa jamaa wa upinzani wameonewa tu. Walikamatwa wakiandamana kudai vitambulisho vya mawakala wao ktk by election.

..Polisi wakawavamia ktk maandamano na kuua mwanafunzi wa chuo kikuu kimakosa. Sasa kuficha aibu na kumaliza hasira zao ndiyo wameamua kuwashitaki Mbowe na viongozi wenzake.

..Kati ya waliohukumiwa ni mwanamama[ Esther Bulaya] Chief Whip wa opposition camp ambaye alim-suceed yule aliyetwangwa risasi mwaka juzi.
 
Kwa hiyo Knight Frank report wanajaribu kuusifia huu utawala. Utapata tabu sana. I insist, huo ni uchawi, hate yako towards this utawala, brings a lot of questions, haswa nikizingatia ulivyokiwaga pro JK, lazima Kuna mianya yako imezibwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

..sijawahi kuwa pro-JK.

..utawala huu una kasoro mbalimbali, lakini mbaya kuliko zote ni UKATILI / UNYAMA.

..mambo waliyofanyiwa Alphonce Mawazo, Ben Saanane, Tundu Lissu, Mdude Nyagali, sijui kwanini unadhani ni sawa.
 
Hivi kwa akina Mbowe kuchangisha hela ina maana wamekubaliana na mashtaka na kwamba wako hatiani. Hii Afrika kwa kweli bado sana, shitholes kila mahali, ila mengine wacha tuyaskie huko kwa majirani maana yakitendeka kwetu hapa sijui kama nchi itakalika, Wakenya huwa hatuvumilii upumbavu wa namna hii.

Juzi tumeona mwanaharakati Kabendera na wengine pia wamekiri mashtaka na kusamehewa kwa kutoa hela, aidha itakua Bongo wanasiasa wa upinzani na wanaharakati ni matapeli watupu na makajanja wa mjini au uongozi wa sasa umeamua kukandamiza upinzani kabisa mpaka asibaki hata mmoja mwenye kuhoji chochote.
Kuna mtoto wa mjombangu nilibonga nae kadaisha mahama yao siku hz inafanya kazi km TRA..yani inatafuta hela kw udi na uvumba ndio manake hata kesi ya ufisadi unakubali unakula faini tu..

Eti "KISUTU REVENUE AUTHORITY"yani nilicheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtoto wa mjombangu nilibonga nae kadaisha mahama yao siku hz inafanya kazi km TRA..yani inatafuta hela kw udi na uvumba ndio manake hata kesi ya ufisadi unakubali unakula faini tu..

Eti "KISUTU REVENUE AUTHORITY"yani nilicheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah nchi inatafuta pesa kwa udi na uvumba tumalize miradi yenye tija, hawa waseng... Wakizingua tunawapiga faini cz pesa wanayo waliyoiiba enzi za jk
 
..Tanzania ya sasa hivi ni ya hovyo sawa na Kenya ya wakati wa Mzee Moi.

..Tumefikaje huko? We made a mistake in 2015. Tulichagua kiongozi asiyependa demokrasi na mkatili.

..Tumekuwa nchi ya ajabu / SKUNKS kuwa chief whip wa opposition camp ktk bunge anapigwa risasi mchana kweupe ktk compound ya serikali na yenye walinzi 24/7. Na baada ya hapo hakuna investigation.

..I never thought waTz tunaweza kuwa WAKATILI kiasi hiki.

..Hawa jamaa wa upinzani wameonewa tu. Walikamatwa wakiandamana kudai vitambulisho vya mawakala wao ktk by election.

..Polisi wakawavamia ktk maandamano na kuua mwanafunzi wa chuo kikuu kimakosa. Sasa kuficha aibu na kumaliza hasira zao ndiyo wameamua kuwashitaki Mbowe na viongozi wenzake.

..Kati ya waliohukumiwa ni mwanamama[ Esther Bulaya] Chief Whip wa opposition camp ambaye alim-suceed yule aliyetwangwa risasi mwaka juzi.
Soma historia vzr nchi karibu zote zilizoendelea zilitumia udikteta fulani na ndiyo maana ziliendelea, huwezi kupata maendeleo huku unahimiza demokrasia, pia huwez kuendelea km wananchi watajifanya wajuaji km kenya, ni lazima mconcentrate power kwa mtu mmoja ambaye ni makini na mnamwamini kwmb atawavusha salama kutoka kwenye umaskini, soma vzr historia utaelewa, hawa wapinzani wa maendeleo wasikupotoshe, hakuna hata mmoja ambaye angethubutu kuwa na mawazo km ya JPM, wote hawa wangeanza na mifuko yao kwnz, waza kmy kmy utapata jibu na usiwe mbinafsi weka maendeleo ya nchi mbele hata kama ww kwa kipindi hiki hautafaidika lkn waza maendeleo ya nchi kwa ujumla, na ndivyo walivyofanya USA, GERMANY, JAPAN, BRITISH, FRANCE and even CHINA, tatizo la Mwafrika ni ubinafsi wa kujifikiria yeye na ndiyo maana Afrika haitokaa iendelee, hebu jiulize nchi gani iliyoendelea ilikuwa na demokrasia, au nchi gn iliyoendelea ilikuwa na uchaguzi wa marais kila baada ya miaka fulani, hili ni bomu wazungu waliliingiza Afrika baada ya wao kuendelea na hawapendi kuona Afrika inaendelea km wao, pia wanajua fika jinc gn waafrika ni wabinafsi, wenzetu CHINA waliliona hili na ndiyo maana wakachagua kwmb Xi jinping awaongoze kwa kipindi hiki na co mpumbavu mwengine yyte cz wanamuamini atawapeleka mbele na ndivyo ilivyokuwa.
 
..sijawahi kuwa pro-JK.

..utawala huu una kasoro mbalimbali, lakini mbaya kuliko zote ni UKATILI / UNYAMA.

..mambo waliyofanyiwa Alphonce Mawazo, Ben Saanane, Tundu Lissu, Mdude Nyagali, sijui kwanini unadhani ni sawa.
Kwendra zako wewe, nakufaham fika, kipindi ile jk na kagame was reading a lot of your contents. Ati kasoro, as if Kuna tawala zisizo na kasoro.
Unazingua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afu wewe mbona hizi hoja hukutesa hivi, huwa unashndwa kuzijadili kama zilivyo hadi unaishia kujadili wanaozijadili. Maisha magumu sana hayo ya kutukana wanaume wenzako kote, yaani kila bandiko lako ni tusi tu, sio kwenye mada za Watanzania au Wakenya, wewe ni mwendo wa matusi tu.
Ukiona nakujadili ujue sioni hoja yenye mantiki uloandika, ya kukujibu, huwaga ni hogwash, huyo nilomjibu anajua fika nilichomwambia, wewe tuliza makende yako, tena ww ndio ukae kimya, ww ulileta habari ya Uongo kuhusu hawa dollar millionaires. Afu unataka nisi attack people like you nijadili hoja, hoja za urongo? Hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwendra zako wewe, nakufaham fika, kipindi ile jk na kagame was reading a lot of your contents. Ati kasoro, as if Kuna tawala zisizo na kasoro.
Unazingua

Sent using Jamii Forums mobile app

..Kumbe wewe ndugu yangu ni mtu wa Kagame?

..Kagame ameua wananchi wengi sana wasio na hatia nchini Congo.

..Na wala sifichi furaha yangu kwa jinsi M23 na RDF walivyopigwa na kikosi cha UN/SADC kilichokuwa kinaongozwa na Tz.
 
Soma historia vzr nchi karibu zote zilizoendelea zilitumia udikteta fulani na ndiyo maana ziliendelea, huwezi kupata maendeleo huku unahimiza demokrasia, pia huwez kuendelea km wananchi watajifanya wajuaji km kenya, ni lazima mconcentrate power kwa mtu mmoja ambaye ni makini na mnamwamini kwmb atawavusha salama kutoka kwenye umaskini, soma vzr historia utaelewa, hawa wapinzani wa maendeleo wasikupotoshe, hakuna hata mmoja ambaye angethubutu kuwa na mawazo km ya JPM, wote hawa wangeanza na mifuko yao kwnz, waza kmy kmy utapata jibu na usiwe mbinafsi weka maendeleo ya nchi mbele hata kama ww kwa kipindi hiki hautafaidika lkn waza maendeleo ya nchi kwa ujumla, na ndivyo walivyofanya USA, GERMANY, JAPAN, BRITISH, FRANCE and even CHINA, tatizo la Mwafrika ni ubinafsi wa kujifikiria yeye na ndiyo maana Afrika haitokaa iendelee, hebu jiulize nchi gani iliyoendelea ilikuwa na demokrasia, au nchi gn iliyoendelea ilikuwa na uchaguzi wa marais kila baada ya miaka fulani, hili ni bomu wazungu waliliingiza Afrika baada ya wao kuendelea na hawapendi kuona Afrika inaendelea km wao, pia wanajua fika jinc gn waafrika ni wabinafsi, wenzetu CHINA waliliona hili na ndiyo maana wakachagua kwmb Xi jinping awaongoze kwa kipindi hiki na co mpumbavu mwengine yyte cz wanamuamini atawapeleka mbele na ndivyo ilivyokuwa.

..tulishajaribu udikteta hapa Tz wakati wa Mwalimu Nyerere na tulifeli.

..pia kuna nchi nyingi za kiafrika zimetawaliwa au zinatawaliwa Kidikteta lakini hazijapiga hatua ya maendeleo.

..Demokrasia ina-guarantee amani na kutuhakikishia kuwa tukimchoka Jpm au CCM tunaweza kubadilisha serikali kupitia sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom