Leo nimebanwa na shughuli balaa, siunajua nchi ya middle income huwa mchaka mchaka, nafuu tukijaga Bongo tunapumzika maana kwenu huko ni likizo kwa kila mtu kila siku, japo ndio chanzo cha umaskini wenu, hehehe sijawa na muda wa kuingia JF, nimekuta mumeniquote kundi lote, anyway sijakuelewa pale unasema nilikuongopea, binafsi nimechambua ripoti zote mbili na kuibuka na anomalies kibao, lazima nitatinga kwenye ofisi za Knight Frank na kuwaweka sawa, subiri nipate hata dk 30 hivi
Hii hapa analysis yangu ila itahtaji mtu asiye mzembe kwenye kushirikisha ubongo kuisoma na kuelewa.
Cicero ni Watanzania wachache waliobahatika kusomea Kenya, ila sijui nini huwa kinawaingia mkirudi Bongo mnaganda kiakili mnakua kama wenzenu waliosomea kwenye elimu zenu hizo za saint Kayumba.
Ripoti ya 2019 wanasema milionea Kenya kwa mwaka wa 2018 walikua 9,482 na Tanzania 6,429
Ripoti ya 2020 wanasema milionea Kenya kwa mwaka huo huo wa 2018 walikua 3,399 na Tanzania 5,118
Yaani ripoti yao ya mwaka wa 2019 tulikua tumewazidi Watanzania kwa idadi ya milionea 3,000
Halafu ripoti ya 2020 kwa mwaka
huo huo wa 2018 wakaweka kwamba tumepoteza milionea 6,000
https://content.knightfrank.com/content/pdfs/global/the-wealth-report-2020.pdf
https://content.knightfrank.com/res.../wealthreport/2019/the-wealth-report-2019.pdf