Hizi insha wenzako wameniandikia sana humu ila wakakimbia wenyewe maana ndio kawaida yenu maneno mengi ila zero action. Naona na wewe ndio unaanza kujifunza kuziandika andika.
Kilichowaponza Tanzania ni ujamaa wa Nyerere, uliwafanya muwe wazembe na wenye kauli za omba omba, hakuna anayetaka kujituma afanye kitu cha kuonekana. Haya ya nyie kuimba kwamba mtatupita kiuchumi yaliimbwa sana tangu enzi za mababu zenu, wakaimba baba zenu, mumeimba nyie na mtapokeza watoto wenu wakiimba ila siku zote mtabaki nyuma yetu katika kila kitu maana tatizo lenu liko pale pale uzembe uzembe na wavivu wa kutupwa, na itawachukua muda mrefu sana kuja kubadilisha hiyo, hivyo ina maana tutawatawala kwenye kila kitu mpaka mwisho wa dunia.
Jiulize kwa raslimali zote mlizonazo na hamjakua na misukosuko yoyote, nyie ndio nchi pekee ya Afrika ambayo raia wake wanavuka mipaka kwenda kuwa omba omba kwa nchi jirani, hapa tuna Wasomali na Wasudani ambao kwao ni minyukano na mabomu miaka yote, lakini sijaona raia wao wakija kuomba omba kwetu hapa kama hawa ndugu zako.
Tanzanian beggars busted in Bomet