babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Wala hakuna kuficha aibu hapa,Hivi ni link ya kitu gani hii imewashinda Watanzania wote humu hadi wameishia vijembe ili kuficha aibu.
Huyu mjinga mwenzako hapo kashindwa kutembelea website ya knight frank ili apakue pdf ajisomee,
Au anadhani BBC na vyombo vingine vya habari waliokota hizo data 😂😂😂