Haya jiongeze kidogo baada ya kufurahia picha, nenda kwenye kusoma tofauti ya ripoti ya 2019 na 2020, hata mwanangu wa shule ya msingi kwa kuangalia haraka tu anaweza akabaini haya mahesabu hayajakaa ipasavyo, eti kwa mwaka mmoja tumepoteza mamilionea zaidi ya elfu tatu, Na nyie mkatupiku na zaidi ya milionea elfu mbili kwa mwaka mmoja tu.
Nataka nitulie nisake hizi taarifa kwenye tovuti ya hawa watu, kisha niandae ripoti yenye kuonyesha haya makosa halafu niwatumie na kama hawatarekebisha nitume kwenye vyombo vyote vya habari, nitapiga makelele mpaka watie akili, nchi yangu naipenda sana, huwa hatupitwi na shitholes za kwenye LDC.
Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2019 wealth report
8,400 -2013
9,176 -2017
9,482 -2018
11,584 -2023 - projection
Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2020 wealth report
800 - 2014
3,399 - 2018
2,900 - 2019
3,309 - 2024