Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

Halafu naomba mwenye link original ya hii table ya 2019 atupatie tuhakiki humo, maana sioni jinsi Knight Frank wanaweza kuboronga kiasi hiki, glaring mistakes kama hizi hao jamaa huwa hawafanyi, hapa nashuku itakua Cicero au Mtanzania fulani kafanya photoshop kizembe bila kufikira na kujua ataumbuliwa na watu ambao hudadavua data herufi kwa herufi.
Waache wajipe matumaini tu, hyo table ilivyopangwa sana hadi nimecheka..
Yani mtu mwenye uelewa mzuri hawezi kubaliana na makosa level hyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Source the citizen tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Nitumie link ya kutoka knight frank basi, manake hko habari ndilo ilikotoka jomba..

Nasubiria please[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, kwa hii miaka 10 inayokuja mtaumia sn, mana impact atakayoiacha Magu itawasumbua sn, kelele zenu zmebaki kwny cooked GDP ambapo huko nako tunakuja na GDP ya ukweli, ss cjui mtakimbilia wapi... LMFAO
 
Na huu ni mwanzo tu 😂 😂 😂
 
Ndugu, kwa hii miaka 10 inayokuja mtaumia sn, mana impact atakayoiacha Magu itawasumbua sn, kelele zenu zmebaki kwny cooked GDP ambapo huko nako tunakuja na GDP ya ukweli, ss cjui mtakimbilia wapi... LMFAO
mbna una ruka ruka, mi nataka uniletee ripoti kutoka knight frank iliyoongelea hvyo vitu umeleta kutokana na hyo link yako..
Manake naona umeanza kupindisha mada

Nasubiria jomba[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbna una ruka ruka, mi nataka uniletee ripoti kutoka knight frank iliyoongelea hvyo vitu umeleta kutokana na hyo link yako..
Manake naona umeanza kupindisha mada

Nasubiria jomba[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wavivu sn kwakweli, ss unaletewa report hutaki tafuta unayoamini ww ss, af hapa mjadala nshaufunga Tz baba lao kudadadeki [emoji3][emoji3]
 
yaani we jamaa bana, ebu toa ata deatils kisomi sasa ndo nn iki umeandika, mm na wewe sasa nan anaonekana kujidharirisha, we reply zako mara hazina mashiko!
Nakuacha na ujinga wako.
Hata nikijitolea kukufundisha wewe hufundishiki kabisa jinsi ulivyo mtupu kichwani.

Ungekuwa na akili kidogo, ungerudi nyuma tokea uliporukia kunijibu niliyoandika pale. Ule ungekuwa mwanzo mzuri kwako kujua kuwa usiwe unaparamia tu kujibu mambo usiyokuwa na uwezo nao, eti kwa sababu tu unatumia majina makubwa kama 'Warren Buffet'. Kujua hilo jina hakukufanyi wewe kuwa mjuaji wa eneo hilo.

Baada ya hapo ndipo ulipojivua nguo kabisa ukionekana kama punguani jinsi ulivyorukaruka ili uonekane unajua kitu, kumbe ndio unazidi kujidharirisha.
 
Wakenya wavivu sn kwakweli, ss unaletewa report hutaki tafuta unayoamini ww ss, af hapa mjadala nshaufunga Tz baba lao kudadadeki [emoji3][emoji3]
Hahaaaa!!wewe umelete ripoti inayosema ya kuwa kenya ni bla bla bla..

mbna sasa una haha jomba wakati mi bataka link tu..kwn wao taarifa walizipataje mpaka wewe ushindwe kuleta hyo link
"KNIGHT FRANK"[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ukishindwa kuleta tz mama lao[emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu, kuna some of the senior advocates wamefungiwa ofisi kwa kushindwa kulipa kodi, wengine wamekimbiwa na wafanyakazi kwa kushindwa kulipa mishahara. hali zimebadilika. Ofisi ya wakili mkuu wa serikali imeondoka na tenda za watu.
Watafute kazi za kufanya ni jambo jema kwa nchi kama afisi ya mwanasheria Mkuu wa serikali ikipunguza gharama kwa kusimamia kesi mahakamani.Hizi kesi ndizo ziliwapa jeuri akina Fatma Karume wakawa wanapiga vibao waandishi wa habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeisoma hiyo article ya citizen na nikaona imeandikwa kufurahisha kadamnasi tu. Nahisi hata mwandishi haijui Kenya kabisa. Hata hivyo kuna mahali amekiri mwenyewe kuwa ni kama taarifa za kufikirika, nanukuu; "A lack of robust data to fit into our complex econometric model on certain countries means we had to make assumptions"

Kiukweli uchumi wa Kenya uko juu na wala tusipepese macho. Jiulize kwa nini Kenya ina makampuni zaidi ya 200 yaliyowekeza Tanzania na je Tanzania wana Makampuni mangapi yaliyopo Kenya? Nchi zote za Afrika Mashariki ni soko la bidhaa za Kenya. Uchumi haudanganyi.

Angalia takwimu za bajeti za Afrika Mashariki kwa mwaka 2019/20; Kenya Tsh 66.8 Trilion, Uganda Tsh 23.6 Trillion na Tanzania 30.4, Rwanda Tsh 6.8 Trilion, Burundi 1.8 Trilion na South Sudan Tsh 3.5 Trillion (ambayo jumla ya yote ni Tsh 66.1 Trilion). Picha unayopata ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko nchi zingine zote 4 za Afrika Mashariki yote zikiwekwa pamoja.
Kamanda the Citizen wamecopy BBC,unaonekana umejawa nadharia na jazba.Zaidi,hujawahi kufika Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepewa facts umebakia kujichekesha tu..nadhan imekuingia lkn unajipa matumaini tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliotoa ripoti sio mimi, hupaswi kutuambia sisi, nendeni mkawaambie hao wenye ripoti yao. Hiyo ni kawaida kwa binadamu yeyote kupatwa na mshangao anapopatwa na jambo ambalo sio la kawaida.

Tunajua mpo katika kipindi kigumu sana kukubaliana na mabadiliko haya. David Ndii aliwaonya sana kwamba Tanzania 'Is taking over East Africa" lakini hamkutaka kumsikiliza, na huu ni mwanzo tu, jiandaeni kisaikolojia kupata maumivu mengi zaidi ya haya.

Ninyi ni wapuuzi sana, mumejawa na wivu na sifa za kijinga, shirika lenye wataalamu na uzoefu mkubwa, linalokubalika duniani kote, eti lifanye makosa ya kizembe na kijinga kama hayo. Endeleeni kulia na kujiliwaza, lakini ukweli ni kwamba, Tanzania ina idadi kubwa ya matajiri kuliko Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Source the citizen tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787]..

Nitumie link ya kutoka knight frank basi, manake hko habari ndilo ilikotoka jomba..

Nasubiria please[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
BBC nao pia hawaamini?, hahahaha, hahahaha. Wivuuu wakati hamna uwezo wa kupambana na Tanzania, ninyi ni watu wa kujipiga kifua wakati hamna lilote, hovyo kabisa ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyan millionaires number dropped by 499 from 3399 to 2900 in year 2019.Shown in graph below.View attachment 1379394

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya jiongeze kidogo baada ya kufurahia picha, nenda kwenye kusoma tofauti ya ripoti ya 2019 na 2020, hata mwanangu wa shule ya msingi kwa kuangalia haraka tu anaweza akabaini haya mahesabu hayajakaa ipasavyo, eti kwa mwaka mmoja tumepoteza mamilionea zaidi ya elfu tatu, Na nyie mkatupiku na zaidi ya milionea elfu mbili kwa mwaka mmoja tu.

Nataka nitulie nisake hizi taarifa kwenye tovuti ya hawa watu, kisha niandae ripoti yenye kuonyesha haya makosa halafu niwatumie na kama hawatarekebisha nitume kwenye vyombo vyote vya habari, nitapiga makelele mpaka watie akili, nchi yangu naipenda sana, huwa hatupitwi na shitholes za kwenye LDC.

Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2019 wealth report
8,400 -2013
9,176 -2017
9,482 -2018
11,584 -2023 - projection

Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2020 wealth report
800 - 2014
3,399 - 2018
2,900 - 2019
3,309 - 2024
 
Nakuacha na ujinga wako.
Hata nikijitolea kukufundisha wewe hufundishiki kabisa jinsi ulivyo mtupu kichwani.

Ungekuwa na akili kidogo, ungerudi nyuma tokea uliporukia kunijibu niliyoandika pale. Ule ungekuwa mwanzo mzuri kwako kujua kuwa usiwe unaparamia tu kujibu mambo usiyokuwa na uwezo nao, eti kwa sababu tu unatumia majina makubwa kama 'Warren Buffet'. Kujua hilo jina hakukufanyi wewe kuwa mjuaji wa eneo hilo.

Baada ya hapo ndipo ulipojivua nguo kabisa ukionekana kama punguani jinsi ulivyorukaruka ili uonekane unajua kitu, kumbe ndio unazidi kujidharirisha.

Sasa wewe na buffet nan anajua pesa? Who should mentor the other? He probably knows mengi usiyoyajua or else tungekua tunapika data zetu vichwan! We endelea ivo ivo , yaaani endelea na ubishi ivo ivo na ubaki Ivo ivo
 
Haya jiongeze kidogo baada ya kufurahia picha, nenda kwenye kusoma tofauti ya ripoti ya 2019 na 2020, hata mwanangu wa shule ya msingi kwa kuangalia haraka tu anaweza akabaini haya mahesabu hayajakaa ipasavyo, eti kwa mwaka mmoja tumepoteza mamilionea zaidi ya elfu tatu, Na nyie mkatupiku na zaidi ya milionea elfu mbili kwa mwaka mmoja tu.

Nataka nitulie nisake hizi taarifa kwenye tovuti ya hawa watu, kisha niandae ripoti yenye kuonyesha haya makosa halafu niwatumie na kama hawatarekebisha nitume kwenye vyombo vyote vya habari, nitapiga makelele mpaka watie akili, nchi yangu naipenda sana, huwa hatupitwi na shitholes za kwenye LDC.

Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2019 wealth report
8,400 -2013
9,176 -2017
9,482 -2018
11,584 -2023 - projection

Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2020 wealth report
800 - 2014
3,399 - 2018
2,900 - 2019
3,309 - 2024

Lethargic and covetousness Kunyan! You have been given different links, even your paper has transcribed about it but you’re still in denial mechanism. This is a sign of mental disorder.

Denial is a defense mechanism which involves a refusal to accept reality, thus blocking external events from awareness. If a situation is just too much to handle, the person may respond by refusing to perceive it or by denying that it exists.

You’d go to see a physician before the situation become more serious.
👇 👇 👇 👇 👇

Kenyan millionaires number dropped by 499 from 3399 to 2900 in year 2019.Shown in graph below.View attachment 1379394

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom