Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Ukiangalia ripoti zengine hazi support hio informationHahahaha, hahahaha. Leo ndio unakataa kwasababu wamesema Tanzania ipo juu, kwanini miaka yote huko nyuma hukukataa data zao kwasababu walisema Kenya ipo juu ya Tanzania.
Mambo mawili lazima ukubali japo ni chungu sana kumeza
1)Kenya haina ubavu wa kupambana na Tanzania ktk uchumi
2)Kenya taarifa nyingi sio kweli, wanajaribu kuomyesha kwamba Kenya ipo vizuri, lakini hali halisi ni tofauti sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano hii hapa inayoonyesha Total wealth ya wananchi wote,, Kenya iko mbali zaidi ya Tanzania.... kama ingekua kweli kwamba Tz ina matajiri wengi wa dollar millionare basi tungeona Tanzania ikiwa juu kwa hesabu za total wealth ukihesabu wakaazi wote.. Simple logic.
Kwahivyo usishtuke ukiskia Knight Frank wakisema wamegundua walikosea na wakarekebisha dollar millionnairs wamefika zaidi ya 12,000 in 2019