Nimekuuliza hivyo manake hio ripoti iko na tatizo kwa data ya Kenya..... Hao jamaa lazima wamekosea kati ya ripoti ya 2019 na 2020
Kwa 2019 wealth report , Data ya Tanzania inaonyeshe >1m dollar millionaires ni
Tz usd dollar millionaires ($1m) 2019 wealth report
5,700 - 2013
6,216 - 2017
6,429 - 2018
7,616 - 2023 -projection
Tz usd dollar millionaires(>$1m) 2020 wealth report
3,000 - 2014
5,118 - 2018
5,553 - 2019
8,532 - 2024- projection
--------------
Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2019 wealth report
8,400 -2013
9,176 -2017
9,482 -2018
11,584 -2023 - projection
Kenya usd dollar millionaires (>$1m) 2020 wealth report
800 - 2014
3,399 - 2018
2,900 - 2019
3,309 - 2024
----------------------------------------------------------------------------------
Hebu sasa tupange hizo data za 2019 report na 2020 report zifwatane ki mwaka
TZ Full data consecutive years base on the report
5,700 - 2013
3,000 - 2014
6,216 - 2017
5,118 - 2018
6,429 - 2018
5,553 - 2019
7,616 - 2023
8,532 - 2024
Kenya Full data consecutive years base on the report
8,400 -2013
800 - 2014
9,176 -2017
3,399 - 2018
9,482 -2018
2,900 - 2019
11,584 -2023
3,309 - 2024
Ukiangalia hia data ya Tanzania angalau iko consistent , Lakini ukiangalia hio data ya Kenya ripoti ya 2019 na ya 2020 ni mbingu na nchi e.g 2013 Kenya iko na 8,400 dollar millionaires alafu mwaka mmoja baadae 2014 tumepoteza dollar millionare karibia 8,000!!!!! alafu 2017 wanaongezeka hadi kufika 9,176 alafu ikifika 2019 wanapungua wote hadi 2,900!!!! Hii haiwezekani hapa wamekosea data set moja kati ya 2019, na 2020...
Kenya 2019
View attachment 1378829
Kenya adds 300 dollar millionaires in 2018