komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Waache wajipe matumaini tu, hyo table ilivyopangwa sana hadi nimecheka..Halafu naomba mwenye link original ya hii table ya 2019 atupatie tuhakiki humo, maana sioni jinsi Knight Frank wanaweza kuboronga kiasi hiki, glaring mistakes kama hizi hao jamaa huwa hawafanyi, hapa nashuku itakua Cicero au Mtanzania fulani kafanya photoshop kizembe bila kufikira na kujua ataumbuliwa na watu ambao hudadavua data herufi kwa herufi.
Yani mtu mwenye uelewa mzuri hawezi kubaliana na makosa level hyo
Sent using Jamii Forums mobile app