Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
UmekasirikaUsimjibu mpumbavu kadri ya upambuvu wake usije kuwa sawa na yeye.... Mithali 26:4
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmekasirikaUsimjibu mpumbavu kadri ya upambuvu wake usije kuwa sawa na yeye.... Mithali 26:4
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji3][emoji3]Hahahaha, mtazoea baada ya muda sio mrefu, kumbuka kwamba binadamu yeyote hupitia hatua tatu anapokutana na tatizo kubwa lenye kushitua sana, nazo ni
1)Denial
2)Negotiation
3)Acceptance
Bado hii taarifa ni mbichi kabisa, mpo katika hatua ya kwanza kabia ya "Denial", hiki kipindi mtakivuka mapema sana, kwasababu muda si mrefu kutoka sasa kunakuja taarifa nyingine itakayowamaliza kabisa, wakati mkiendelea kulialia, kumbukeni kwamba"Tanzania inazidi Kenya kwa idadi ya matajiri".
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unawapa nyundo za kichwa tu maaamaeeeHahahaha, naona tayari umeanza kukubaliana na hali halisi " Research hupingwa kwa Research", wacha kupoteza muda wako bure. Unachokifanya ni kujipa matumaini ili uweze kupata usingizi vizuri, ila huwezi kubadilisha matokeo ya hiyo ripoti, dunia nzima inajua kwamba, Tanzania inazidi Kenya kwa matajiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nimeipitia hapo kw hyo idadi ni balaa walai..
Wajua nilitaka link kusudi tena kutoka kwake, manake ameivaavaa hii habari hatari kw kwel..
BBC hawana makosa yyte wala, manake lazi yao ilkua kusambaza habari..
Nilisisitiza kw sababu nlikua nataka niisome hyo habari kw kina, kiukwel hawa jamaa wamebugi kwanza kutokea 2018 hesabu zao zinajikanganya kabisa..
Byda sasa haina haja niendelee ku comment tena katika huu uzi..
Mtu na akili zake akishasoma hyo habari hawez endelea kubishana na zero brain...
Asanate kw kumsaidia lkn..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameelewa lkn wanajipa matumaini tuYeah hizo discrepancies nitaziwasilisha kwa hao Knight Frank, nahisi walipitiwa na kujichanganya, dah ingeuma kama ingetokea kweli eti LDC shithole itushinde kwa idadi ya mamilionea.
Co tu kwmb mnaumia bali pia mnajuwa ukweli kwamba nyundo zinazokuja co za nchi hii, [emoji3][emoji3] nchi kubwa haiwez shindwa na nchi ndogo hata cku moja labda hyo nchi kubwa iwe ya kusadikikaYeah hizo discrepancies nitaziwasilisha kwa hao Knight Frank, nahisi walipitiwa na kujichanganya, dah ingeuma kama ingetokea kweli eti LDC shithole itushinde kwa idadi ya mamilionea.
Wanaumia mnoo 😂😂😂Co tu kwmb mnaumia bali pia mnajuwa ukweli kwamba nyundo zinazokuja co za nchi hii, [emoji3][emoji3] nchi kubwa haiwez shindwa na nchi ndogo hata cku moja labda hyo nchi kubwa iwe ya kusadikika
Eti wazungu wenye akili zao na vipara vyao wafanye analysis zao af lofa mmoja kutoka kibera aone mapungufu [emoji3][emoji3] dunia naomba usimame kdg nishuke, yn na koti lako kubwa oversize, gazeti mkononi eti uone makosa ya wanaokupangia ule nn, uvae nn, upande nn, heheheheheeee yn jinc mnavyoif....la nchi yenu hamuoni eti mnajiuliza tumewashushaje, me ndo mana nasema viongozi wetu walituangusha kwa mda mrefu mpk hawa monkey wanapata kuongea pumba humu, ss kwa taarifa yenu hatutawaachia hata kitu kimoja tutawanyanyasa kuanzia ardhini, majini, mpk angani, huko kote tutatawala cc nchi kubwa EA[emoji3][emoji3][emoji3]Wanaumia mnoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa wajinga kinacho wasumbua ni wivu pamoja na chuki za kishamba,Eti wazungu wenye akili zao na vipara vyao wafanye analysis zao af lofa mmoja kutoka kibera aone mapungufu [emoji3][emoji3] dunia naomba usimame kdg nishuke, yn na koti lako kubwa oversize, gazeti mkononi eti uone makosa ya wanaokupangia ule nn, uvae nn, upande nn, heheheheheeee yn jinc mnavyoif....la nchi yenu hamuoni eti mnajiuliza tumewashushaje, me ndo mana nasema viongozi wetu walituangusha kwa mda mrefu mpk hawa monkey wanapata kuongea pumba humu, ss kwa taarifa yenu hatutawaachia hata kitu kimoja tutawanyanyasa kuanzia ardhini, majini, mpk angani, huko kote tutatawala cc nchi kubwa EA[emoji3][emoji3][emoji3]
Huu ndio mwisho wenu wa kujipiga kifua, hamuwezi shindana na Tanzania ninyi "Failed state", nchi limejaa ukabila, rushwa, terrorism, nepotism, hunger and low IQ citizens, litawezaje kushindana na nchi iliyobarikiwa kama Tanzania?Yeah hizo discrepancies nitaziwasilisha kwa hao Knight Frank, nahisi walipitiwa na kujichanganya, dah ingeuma kama ingetokea kweli eti LDC shithole itushinde kwa idadi ya mamilionea.
Co tu kwmb mnaumia bali pia mnajuwa ukweli kwamba nyundo zinazokuja co za nchi hii, [emoji3][emoji3] nchi kubwa haiwez shindwa na nchi ndogo hata cku moja labda hyo nchi kubwa iwe ya kusadikika
Unaumia baada ya hiyo taarifa kwasababu ulitangulia kufungua uzi ulioonyesha kwamba Kenya inaizidi Tanzania kwa matajiri, ulitumia vijarida vya Kenya vilivyowapumbaza kwa miaka mingi tangu utotoni mwenu Kenya records fastest rising number of dollar millionairesWatz mimi nawajua sana walivyo hawa, ndio desturi yao kujitoa ufahamu, hehehe! lakini huwa siwaachi hivi hivi lazima niwape na kuwakumbushia hali yao ya kuwa nyuma yetu kwa kila kitu.
Kitambo kabla kuwajua walivyo nilikua napata tabu nikihangaika kujadili nao kitaalam, unakuta nasaka data na kupelekena nao nao neno kwa neno, ila nikaja kugundua wana mapungufu fulani hivi, hata kwa majukwaa humu JF ambayo utategemea hoja zijadiliwe na wenye akili, wote humo ni soga na vijembe na kupashana, na ndio hali yao hata maofisini, wewe jiulize kwanini nchi iwe na kila raslimali lakini maskini wa kutupwa.
Hakuna taifa linaogopa Tanzania km Kenya, unajua kwnn ni kwasababu wanajua fika kwamba mtanzania siku akiamka hatokaa ashikike Afrika hii, ss WaTz wameshaamka na kwa hii miaka mi4 tu ya uamsho tumeshawapita watu waliopambana miaka yote ya maisha yao heheheheheeee can u imagine? yn watu wamepambana na kanchi kao miaka zaidi ya 50 kwa machozi jasho na damu lkn Tz imekuwa serious (ukiacha Nyerere-RIP) kwa miaka 4 tu ishaanza kutema cheche, ss mnalia baada ya kuoneshwa kuwa tumewapita kwa idadi ya mamilionea ngoja nkwambie kitu na km utaweza fanya ka utafiti kdg kwny hili, ni kwamba Tz ina idadi kubwa ya mamilionea kuliko nchi nyingi sn hapa Afrika tena zngne huwezi kutegemea sema tatizo letu Tz watu huwa hawapendi ku release confidential information zao, yn Tz kuna watu wanapesa jmn ni hatari tena hao watu ni WaTz, lkn kenya wenye pesa wengi co wakenya, binafsi hz taarifa za Tz kuizd kenya nilikuwa nawaambia watu kwamba km watafanya uchunguzi wa kina bac hakuna nchi ya kulinganisha na Tz hapa EA kwa mamilionea, na ndivyo ilivyokuwa.Hehehehe.. Sijakuelewa, tuumie kivipi ilhali uchumi wetu umekaribia kuwa mara mbili ya wenu, liinchi lenu hilo tumelishinda kwa kila kitu, kielimu, kiuchumi. kijeshi yaani kila kitu, tatizo lenu kubwa ni uzembe uliokubuhu, mna kila sababu na raslimali za kuongoza Afrika kiuchumi, lakini aibu miaka yote hii nyie bado maskini wa kutupwa.
Mlituambia awamu hii itatupita kicuhumi ndani ya siku 100 za mwanzo wake, ndio hii inaelekea kuisha hamna jipya zaidi ya kuongeza madeni mara mbili ya awamu ya nne na bdao mpo msakini ndani ya LDC. Sisi kainchi ketu kadogo na zaidi ya nusu yake ni kame tupu ila tunajituma na kuwaacha mbali.
Mpaka siku mtaamka na kujituma, ila kwa sasa sio kwa vizazi vya leo, mpo mbali sana nyuma yetu, enz za Kikwete uchumi wenu ulikua kwa asilimia 7.4 na bado tukawaacha mbali, awamu ya sasa mumerudi nyuma na kujiongeza madeni, ndio tumewapa kwaheri.
Halafu naomba mwenye link original ya hii table ya 2019 atupatie tuhakiki humo, maana sioni jinsi Knight Frank wanaweza kuboronga kiasi hiki, glaring mistakes kama hizi hao jamaa huwa hawafanyi, hapa nashuku itakua Cicero au Mtanzania fulani kafanya photoshop kizembe bila kufikira na kujua ataumbuliwa na watu ambao hudadavua data herufi kwa herufi.
Swali nililouliza "Wewe hauna akili ya kuona kwamba hizo takwimu za wealth report ya 2019 na ya 2020 haziendani? mpka ndii akwambie?? "Ndii ni mtaalam mkubwa sana wa uchumi hapo Kenya, ww usijifanye humjui bhana. Mimi nina akili sana, ila sijasomea uchumi. Ndio maana naamini wachumi waliosoma wakizichambua hizi data za kiuchumi. Data imeandaliwa na wasomi huko, ikaandikwa na vyombo vya kimataifa,
Sasa wewe baki na denialism yako, prepare to oppose a lot of reports concerning tz vs kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Both reports are from Knight Frank !!!! Pay attention!Unafananisha reports za two different sources. Fananisha reports za same source.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna taifa linaogopa Tanzania km Kenya, unajua kwnn ni kwasababu wanajua fika kwamba mtanzania siku akiamka hatokaa ashikike Afrika hii, ss WaTz wameshaamka na kwa hii miaka mi4 tu ya uamsho tumeshawapita watu waliopambana miaka yote ya maisha yao heheheheheeee can u imagine? yn watu wamepambana na kanchi kao miaka zaidi ya 50 kwa machozi jasho na damu lkn Tz imekuwa serious (ukiacha Nyerere-RIP) kwa miaka 4 tu ishaanza kutema cheche, ss mnalia baada ya kuoneshwa kuwa tumewapita kwa idadi ya mamilionea ngoja nkwambie kitu na km utaweza fanya ka utafiti kdg kwny hili, ni kwamba Tz ina idadi kubwa ya mamilionea kuliko nchi nyingi sn hapa Afrika tena zngne huwezi kutegemea sema tatizo letu Tz watu huwa hawapendi ku release confidential information zao, yn Tz kuna watu wanapesa jmn ni hatari tena hao watu ni WaTz, lkn kenya wenye pesa wengi co wakenya, binafsi hz taarifa za Tz kuizd kenya nilikuwa nawaambia watu kwamba km watafanya uchunguzi wa kina bac hakuna nchi ya kulinganisha na Tz hapa EA kwa mamilionea, na ndivyo ilivyokuwa.
Wivu na chuki havitakuacha salama, af huo uvivu unaosema ndio sababu ikafanya tuongoze kwa idadi ya millionaires EA [emoji3][emoji3][emoji3] eti beggars, ss c bora hao ni wananchi kuliko rais wa nchi akawa ndiye kiongozi wa ma beggar ni aibu kubwa.Hizi insha wenzako wameniandikia sana humu ila wakakimbia wenyewe maana ndio kawaida yenu maneno mengi ila zero action. Naona na wewe ndio unaanza kujifunza kuziandika andika.
Kilichowaponza Tanzania ni ujamaa wa Nyerere, uliwafanya muwe wazembe na wenye kauli za omba omba, hakuna anayetaka kujituma afanye kitu cha kuonekana. Haya ya nyie kuimba kwamba mtatupita kiuchumi yaliimbwa sana tangu enzi za mababu zenu, wakaimba baba zenu, mumeimba nyie na mtapokeza watoto wenu wakiimba ila siku zote mtabaki nyuma yetu katika kila kitu maana tatizo lenu liko pale pale uzembe uzembe na wavivu wa kutupwa, na itawachukua muda mrefu sana kuja kubadilisha hiyo, hivyo ina maana tutawatawala kwenye kila kitu mpaka mwisho wa dunia.
Jiulize kwa raslimali zote mlizonazo na hamjakua na misukosuko yoyote, nyie ndio nchi pekee ya Afrika ambayo raia wake wanavuka mipaka kwenda kuwa omba omba kwa nchi jirani, hapa tuna Wasomali na Wasudani ambao kwao ni minyukano na mabomu miaka yote, lakini sijaona raia wao wakija kuomba omba kwetu hapa kama hawa ndugu zako.
Tanzanian beggars busted in Bomet