The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Nitajie nchi yenye demokrasia hapa duniani..tulishajaribu udikteta hapa Tz wakati wa Mwalimu Nyerere na tulifeli.
..pia kuna nchi nyingi za kiafrika zimetawaliwa au zinatawaliwa Kidikteta lakini hazijapiga hatua ya maendeleo.
..Demokrasia ina-guarantee amani na kutuhakikishia kuwa tukimchoka Jpm au CCM tunaweza kubadilisha serikali kupitia sanduku la kura.