komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwhyo yalianza 2019 sio[emoji848][emoji848][emoji848]Yalianza lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwhyo yalianza 2019 sio[emoji848][emoji848][emoji848]Yalianza lini?
Uliandika ujinga gani na hayo masoko yalianza lini?
Hahaaaa!!!mtanzania akikamatwa huaga huruka ruka tu km nzi...Uliandika ujinga gani na hayo masoko yalianza lini?
Kama hujui kitu tulia itakusaidia kuto aibika ovyo.
Umejibu nilichokuuliza au unaruka ruka ovyo hapa.
Hahahaha, you must accept and come up with new Strategic Plan to increase number of your Millionaires and probably a single Billionaire, as it stands by now, Tanzania is the home of the only $Billionaire in East and Central Africa, Tanzania has more $Millionaires than KE+UG+RW+BR+SS combined. [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaaaa!!bado unaleta zile zile habari za wale jamaa waliojikanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena katika ya 2019. Mkubali kwamba Kenya uchumi wake hauna mizizi yenye nguvu kupambana na Tanzania
Hahaaaa!!watu wakujipa matumaini na habari za kujikanganya hamjamboHahahaha, you must accept and come up with new Strategic Plan to increase number of your Millionaires and probably a single Billionaire, as it stands by now, Tanzania is the home of the only $Billionaire in East and Central Africa, Tanzania has more $Millionaires than KE+UG+RW+BR+SS combined. [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu mtajikoroga sana, hivi imekua wewe waataka majibu wakati unaruka ruka na kujitoa ufahamu eti hujui km masolo ya madini yalianza lini[emoji3][emoji3]Umejibu nilichokuuliza au unaruka ruka ovyo hapa.
Yani nimecheka hadi raha tu....Tena katika ya 2019. Mkubali kwamba Kenya uchumi wake hauna mizizi yenye nguvu kupambana na Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
You should take that report with a large grain of salt. Last year there were 6400 dollar millionaires in tanzania na 9400 kenya. this year naona wamepunguza
page 45 utapa report ya last year...
they even had a ka article..
Data compiled by GlobalData WealthInsight exclusively for The Wealth Report showed the number of dollar millionaires in Kenya grew to 9,482 in 2018, increasing by 3.3% from 9,176 in the previous year. The number is projected to increase by 22% to 11,584 individuals over the next five years to 2023, a much faster growth compared to the 13% increase recorded since 2013 (8,400 HNWIs).
Kenya adds 300 dollar millionaires in 2018
then report ya a year later 2900???
hmmmmmView attachment 1389705
https://content.knightfrank.com/res.../wealthreport/2019/the-wealth-report-2019.pdf
Umejibu nilichokuuliza au unaruka ruka ovyo hapa.
Hahahaha, you must accept and come up with new Strategic Plan to increase number of your Millionaires and probably a single Billionaire, as it stands by now, Tanzania is the home of the only $Billionaire in East and Central Africa, Tanzania has more $Millionaires than KE+UG+RW+BR+SS combined. [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nchi gani hapa East&Central Africa yenye $Billionaire?Hahaaaa!!watu wakujipa matumaini na habari za kujikanganya hamjambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mamilionea ni WAHINDI AKINA MO, DEWJI, SUBASH PATEL, MANJI, ASKI, NA WENGINE.MWEEEH! Kama uongo vile. Mbona siiamini hii ripoti. Ngoja niwashushie data ntarudi baadae.
======
Inakadiriwa kuwa Mamilionea 499 kwa kiwango cha dola wamepungua nchini Kenya kutoka mwaka jana.
Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 shirika linalofuatilia kiwango cha utajiri binafsi wa watu (HNWI) , Wakenya sita pia walishuka kutoka kwenye kikundi cha watu matajiri sana wanaofahamika kama Ultra High Net- Super (YHBW1) wakiwa na zaidi ya shilingi bilioni 3, na hivyo kupunguza idadi yao na kufikia 42.
Ripoti hiyo imeeeleza kuwa jinsi uchumi wa Kenya ulivyo waumiza watu binafsi matajiri ambao kila mmoja wao alikua na zaidi ya shilingi milioni 100.
Mabadiliko haya yametokea katika mwaka ambao Kenya imepitia kipindi kigumu cha uchumi, ambacho kilisababisha kushuka kwa faida katika kampuni na hivyo watu maelfu ya watu walipoteza ajira.
Mwaka jana wakenya 2,900 waliorothseshwa na HNWI kama watu binafsi wenye kipato cha juu zaidi mwaka jana ambacho kilipungua kwa asilimia 14.6 ikilinganishwa na mwaka 2017.
Zaidi ya miaka mitatu, Kenya ilikabiliwa na sintofahamu ya kisiasa kufuatia uchaguzi wa mwaka 2017, jambo ambalo liliwafanya wawekezaji kuwekeza nchini humo.
Hali mbaya ya hewa pia ambayo iliathiri kilimo- ambacho huchangia ukuaji wa pato la ndani la taifa.
Kushuka kwa idadi ya mamilionea yalikua ni matokeo ya kudorora kwa uchumi, kwa mujibu wa Bw Andrew, mmoja wa watafiti wa ripoti ya utajiri binafsi.
Afrika Kusini iliongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya matajiri binafsi ikiwa na idadi ya watu wenye utajiri wa kupindukia 1,033, ikifuatiwa na Misri ( 764), Nigeria (724) Morocco na Tanzania (114).
Source: BBC
Hivi huwa unasoma unacho kiandika?Mwaka huu mtajikoroga sana, hivi imekua wewe waataka majibu wakati unaruka ruka na kujitoa ufahamu eti hujui km masolo ya madini yalianza lini[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kumbe mo ni milionea na sio billionaire.Hao mamilionea ni WAHINDI AKINA MO, DEWJI, SUBASH PATEL, MANJI, ASKI, NA WENGINE.
WATANZANIA HAKUNA, KWAHIYO HATUNA MILIONEA
Tanzania leads Kenya and Uganda in $Millionaires and Billionaire, that is the report from Knight Frank. While Tanzania has 5.553, Kenya is only 2,900.LightYagami:wanaogopa kui quote ripoti yako kisa hawataki hesabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Milionea anaanzia kiasi gani?Hivi kumbe mo ni milionea na sio billionaire.
Tunaongelea dollars millionaires & billionaires hapa.Milionea anaanzia kiasi gani?
isije ikawa huko kwenu usukumani umefunzwa milionea ni mtu mwenye Milioni moja kuendelea.
Bwahahaaaa!!kulingana na ile ripoti yao ya kimagumashi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania leads Kenya and Uganda in $Millionaires and Billionaire, that is the report from Knight Frank. While Tanzania has 5.553, Kenya is only 2,900.
The number of Millionaires in Tanzania is expected to grow by 51% and that of Kenya by 24% annually. Kwa hiyo msahau kabisa kuifikia Tanzania [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Masoko yalianza lini[emoji51][emoji51]Hivi huwa unasoma unacho kiandika?