game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Mzee, unafananisha Tz na Canada? are you in your senses? 90% ya watz hawajaenda hata sekondari, wanalima huko Vijijini unataka waamue nini? huwezi kutaka demokrasia kwa Watu wanaohitaji maji safi, umeme, huduma za Afya na masoko ya mazao ya kilimo, hatua hii Canada walipita miaka 100 iliyopita,
Mlevi pekee ndiye anaweza fikiria hivyo unavyofikiria,
Kama Rusia wameamua Putin akuwe president for life, tunaweza amua hivyo kwa Tz pia, na kama watu wakiamua na kuridhia JPM atawale mpaka afe ndio demokrasia yenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app

..Ni ceremonial head of state.
..Mamlaka na maamuzi yote makubwa yanafanywa na Waziri Mkuu na Bunge.
..Pia pamoja na kuwa Malkia ndiyo head of state bado Wacanada wana HAKI na maamuzi kuhusu serikali yao kuliko Watz.
Sent using Jamii Forums mobile app