Umenikumbusha cockroachGenZ sasa wamekuwa vibaka au panya road? kauli hii si ni sawa na enzi za kimbali, pale jamii flani ilipoitwa MENDE ! ?
Hakuna tofauti kabisa, harafu mnasema kuna viongozi katika hii nchi
Kwani yale yaliyofanyika tarehe 29/10 yana tofauti gani na panya road?GenZ sasa wamekuwa vibaka au panya road? kauli hii si ni sawa na enzi za kimbali, pale jamii flani ilipoitwa MENDE ! ?
Hakuna tofauti kabisa, harafu mnasema kuna viongozi katika hii nchi
Kama ni panya road, kwa nini waliwafungulia kesi za ugaidi? Ulishasikia kilichoendelea..Kwani yale yaliyofanyika tarehe 29/10 yana tofauti gani na panya road?
Yes; kipindi kile walitumia media za radio; sasa hawa wanatumia mtandao; wanaosambaza ni kwa maelekezo, kama sio mbona hakuna aliekemea?Umenikumbusha cockroach
Hao ni UVCCM sio Gen Z.View attachment 3519892
Ni taarifa kutoka Tanzania Leaks, lakini tusiipuuze.
Hawa wanaojiita GenZ japo ni vibaka au panya road wanaweza kufanya lolote.
Kwani yale yaliyofanyika tarehe 29/10 yana tofauti gani na panya road?
Mbona hujajibu swali ewe kamanda wa lissu?!!Kama ni panya road, kwa nini waliwafungulia kesi za ugaidi? Ulishasikia kilichoendelea..
Wewe ni tahiraNafuu nizae kuliko wewe mwenye mimba miaka hauzai, una kibwengo tumboni
Kabla ya kusoma aliyeandika hayo maneno nilianza kuwa na shaka na maana aliyolenga hasa kuiwasilisha kwa wasomaji.Ni taarifa kutoka Tanzania Leaks, lakini tusiipuuze.
Hawa wanaojiita GenZ japo ni vibaka au panya road wanaweza kufanya lolote.
Walipigwa risasi na kuuliwa wengi kwa sababu za tabia za vibaka, unaingia kwenye duka la nguo sinza unaanza kupora vitu vinavyouzwa, wewe ni kibaka tu.Kwani yale yaliyofanyika tarehe 29/10 yana tofauti gani na panya road?
Kweli kabisa. Risasi ilikuwa halali yaoWalipigwa risasi na kuuliwa wengi kwa sababu za tabia za vibaka, unaingia kwenye duka la nguo sinza unaanza kupora vitu vinavyouzwa, wewe ni kibaka tu.
Unalikuta lori limepaki pembeni ya kituo cha kuuza mafuta unaanza kulipiga moto wewe ni kibaka, ukipigwa risasi mama yako asianze kusumbua watu kwa kukulilia.
Walitaka kwenda bandarini eti wakayachome yale matenki ya mafuta, hawa ni vibaka tu, wanatumia lugha ya maandamano yasiyo na mwisho ili waibe na kuifilisi nchi, wapumbavu sana hawa vijana.
Labda BAKWATA ndiyo wana chuki na UkristoView attachment 3519892
Ni taarifa kutoka Tanzania Leaks, lakini tusiipuuze.
Hawa wanaojiita GenZ japo ni vibaka au panya road wanaweza kufanya lolote.