Tanzania licha ya kujiaminisha hawana corona, hawataruhusiwa kuingia bara Uropa

Tanzania licha ya kujiaminisha hawana corona, hawataruhusiwa kuingia bara Uropa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa Kenya kutokuwemo kwenye hii orodha inaeleweka maana hali sio nzuri, hatufichi maradhi na tumekubali tunacho kirusi na tunapambana, hivyo kwa sasa inaleta mantiki kwa sisi kuzuiwa kuingia popote, ila kwa wenzetu Tanzania wao wameng'ang'ania kwamba ndio taifa pekee dunia lisilo na tatizo la corona lakini hata hivyo wamewekewa ukuta hakuna raia wao ataruhusiwa kuingia bara Uropa, dunia imeanza kufungua milango kwa mataifa ambayo yamethihirisha uwezo wa kupambana na sio wale waliojichokea.

Hongera kwa Uganda na Rwanda, wamepambana vilivyo ukizingatia wao waliweka full lockdown, hatua hizo zimezaa matunda maana kirusi wamekidhibiti kwa njia za kisayansi. Sisi tuendelee na mapambano, pima pima pima, tutafaulu tu hivi karibuni.

=======


Draft List of Countries Permitted to Enter EU When Borders Reopen on July 1

June 23, 2020

The citizens of 54 world countries will benefit from the reopening of the European Union external borders, which is expected to happen by the beginning of July.

According to sources of Euronews, EU officials failed to agree on a common list of the countries that would definitely be banned from entering the block upon the border reopening but managed to create a list of the countries with a better epidemiological situation, the citizens of which will be able to enter Europe by the end of next week.

The same sources have also confirmed that citizens of Brazil, Qatar, the US and Russia will only be able to enter Europe at a later date when the epidemiological situation in these countries improves.

Nationals of the following countries are listed in this draft list:
  1. Albania
  2. Algeria
  3. Andorra
  4. Angola
  5. Australia
  6. Bahamas
  7. Bhutan
  8. Bosnia and Herzegovina
  9. Canada
  10. China
  11. Costa Rica
  12. Cuba
  13. Democratic People’s Republic of Korea
  14. Dominica
  15. Egypt
  16. Ethiopia
  17. Georgia
  18. Guyana
  19. India
  20. Indonesia
  21. Jamaica
  22. Japan
  23. Kazakhstan
  24. Kosovo
  25. Lebanon
  26. Mauritius
  27. Monaco
  28. Mongolia
  29. Montenegro
  30. Morocco
  31. Mozambique
  32. Myanmar
  33. Namibia
  34. New Zealand
  35. Nicaragua
  36. Palau
  37. Paraguay
  38. Rwanda
  39. Saint Lucia
  40. Serbia
  41. South Korea
  42. Tajikistan
  43. Thailand
  44. Tunisia
  45. Turkey
  46. Turkmenistan
  47. Uganda
  48. Ukraine
  49. Uruguay
  50. Uzbekistan
  51. Vatican City
  52. Venezuela
  53. Vietnam
  54. Zambia
The European Union has an internal process to determine from which countries it would be safe to accept travellers,” EU Commission spokesman Eric Mamer said last Thursday, adding that its decisions are “based on health criteria.”
On June 11, the Commission presented its recommendation on the reopening of internal Schengen borders on June 15, so that Europeans can travel within the borderless area freely, just as they did pre-pandemic.

At the same time, the Commission recommended that the Member States should start allowing third-country nationals to enter the EU starting from July 1, gradually and partially, based on the epidemiological situation in each third-country.

The Commission recommended the following objective criteria for the Member States, when drafting the list of countries, the citizens of which may visit the EU after July 1:
  • epidemiological situation and coronavirus response in that country,
  • the ability to apply containment measures during travel, an
  • whether or not that country has lifted travel restrictions towards the EU.
Based on these conditions, the Commission recommended that the nationals of the six Western Balkan countries should be the first to benefit from the abolishment of travel restrictions, all of which are in the above list.

Source: SchengenVisaInfo.com
 
MK254,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sijawahi ona huyu jamaaa analia lia hivi...kumbe Europa kutam eeehhh.
Kila mtu apambane na hali yake. Endeleeninkujifungia tu, si wanawalisha wanawakopesha.
 
Russians Brazilian?
African ni nchi gani imeruhusiwa?

Huko ke shule mlienda kusomea ujinga?

Haileti mantiki kwa Tanzania kufungiwa licha ya kwamba ndio nchi pekee dunia yote iliyopona corona, haipaswi kuzuiwa kuingia popote pale.

Kwa Kenya inaeleweka hata tukizuiwa maana namba za waathirika bado zinapandisha.
 
Haileti mantiki kwa Tanzania kufungiwa licha ya kwamba ndio nchi pekee dunia yote iliyopona corona, haipaswi kuzuiwa kuingia popote pale.
Kwa Kenya inaeleweka hata tukizuiwa maana namba za waathirika bado zinapandisha.
Alookwamba tz ni corona free ni nani?
 
MK254,

Yani wewe mkenya huwajui watz! Sisi hatuthamini kwenda huko urop ndiyo maana hata magu alipiga marufuku viongozi kwenda ovyo ovyo, sasa ukumbuke USA iliweka vikwazo mfu eti baadi ya viongozi wasiingie USA hata hatukuwajibu ni sawa sawa na kumnyima mbuzi samaki ukaona umemnyima chakula. Ndivyo hata wangesema wamemzuia magu kukanyaga USA tusinge poteza muda kuwajibu maana raisi wetu mwenyewe hana time na kwenda USA wala ulaya
 
Russians Brazilian?
African ni nchi gani imeruhusiwa?

Huko ke shule mlienda kusomea ujinga?
Africa kuna nchi 4 ikiwemo Rwanda ambazo zimeshapata hakikisho la kuingia huko kuanzia July.
 
Back
Top Bottom