Tanzania limejitokeza tabaka la "wenye nchi" ambao wanaona hawastahili kuendesha gari kwenye foleni na wana haki ya kutofuata sheria za barabarani

Mkuu japo sijasoma ulichoandika lakini hata kama ni ww unataka Vieite ikae nyuma ya IST kwenye foleni pale Nelson Mandela road?
Kwani foleni inaangalia aina ya Gari? Si kila mtu na sehemu alipo ndani ya hiyo foleni?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu wanakua hawana case.
 
Bado haujakutana na zile nissani new model za familia ya GSM zunafujo kuliko usalama wa taifa
Wale ndo hata hawazingatii sheria za barabarani, nilishashuhudia kwa macho yangu, tena alikua ni sallah.
 
Wiki iliyopita, muda wa asubuhi, nilikuta ajali, landcruiser ya kiongozi wa jeshi ilikuwa inapita upande ambao sio wake, ikagongana uso kwa uso na DFPA, hizi za wizara. Maana na yeye alikuwa speed ila upande wake.
Sasa sijui hiyo kesi iliishaje..

Kiufupi public leadership imekuwa ya ovyo sana saivi. Kuna mambo sijui kwa nini yameachwa na hayana wa kuyasimamia.
 
Yap yale ya (wajuwa Mimi ni nani)! Imerudi Kwa kasi ya Concorde!
 
Landcruiser LC300 za maafisa wa JWTZ vilevile. Hawa ndiyo rough kushinda wote. Ni kama vile hawa watu wanavyoendesha hawogopi ajali na kifo. Wanategemea uwapishe hata kama wana overtake na wewe gari lako lipo upande wa pili hapohapo yaani uende pembeni uwapishe
 
Tatizo la Tanzania sio viongozi ni wananchi wenyewe
Ni lweli kabisa. Mtumwa anaempenda bwana wake anaempiga viboko kila siku - au hata mke ambae anapigwa kila siku na mume akiambiwa muache anadai hawezi kumwacha anampenda!
 
Sasa, hv ni law of the jungle, by hook or crook, wakubwa wanaishi na wavunja sheria wanavyotaka, juzi,kule dar eneo la mwenge, mjeda kapaki ka IST kake pembeni ya barabara,kafungua mrango anavaa viatu,bila kujali watumiaji wengine wa barabara.
 

Ndo kazi wanazoweza hao wajeda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…