Tanzania mabasi ya BRT: This is how we run things (down)

If that makes you sleep well at night Tell yourself that...
Huna uwezo wa kujieleza kuhusu jambo.
1. Hujawahi kufika TZ, huijui Dar, hujui BRT ya dar unaanza ku comment vitu usivyo vijua.
2. Unaingiza topic tofauti kabisa kwenye thread ambayo haihusiki.
3. Unataka kila comment ujibu
4. Mahaba na nchi yako yamezidi busara yako kiasi ya kukupelekea uonekane mbumbumbu.

Jifunze kutoa point zenye references na zinazoendana na thread. Kisha jaribu ku control mahaba na nchi yako yasizidi busara maana utaonekana kichaa.
 
Uelewe kwamba kuanza, ni design, feasibility study, plans and NEMA aproval then ndo kujenga. Nasahi designs zishatoka. Hivi tender imepewa wachineese wale wanajenga SGR. Wakifika Nairobi wanaendelea na lightrail system!!!!!
Punguani mkubwa wewe, Kenya ina wanajeshi chini ya 30,000. Kadanganye mjomba wako wa ocha.
 
Nilileta KDF juu mtualianza story za alshabaab

Nikaleta story ya Canada juu mtu alianza story ya kutotembea
......

Acha ushamba! Muite pembeni mshindane masuala ya kijeshi kwenye uzi wa masuala hayo kama upo, au anzisha. Usiwe mpuuzi kama yeye, mada ni BRT.
 
Punguani mkubwa wewe, Kenya ina wanajeshi chini ya 30,000. Kadanganye mjomba wako wa ocha.
Sawa .....whatever you need to tell urself .......

Kenya army since somalia invasion has been recruiting 3000 a year
Kenya airforces na navy bado

Special forces when we entered somalia numbered 1000 in sai kuna 13 different specializes batalion .....

You people and you obssessions with Kenya mnanifurahisha
 
Punguani mkubwa wewe, Kenya ina wanajeshi chini ya 30,000. Kadanganye mjomba wako wa ocha.
Kdf walikuwa 60k even before waingie somalia and they have been recruiting 8k a year.They have been secretly arming themselves.
 
 
I will again say .....Propaganda yenu yashangaza
 
Kdf iko so secretive u'll never probably know what they have in their inventories and personnel
Kakojoe ukalale, hiyo ni kila jeshi sio KDF peke yake. Nimefunga mjadala na wewe.
 
Kenya iliingia katika hali ya kuongeza wanajeshi maradufu 2014 hadi sahi bado hiyo program inaendelea, kuna walewanafuzu zaidi ya elfu kumi kila mwaka kuanzia 2014. Mpango ulionzishwa na Uhuru mwenyewe
No need to convince this dummies They have never been to war in this century and the Ugandan war.....ugandan rebels helped them win......

Nakaa hapa Nakuru

It isnt rocket science Number of Bases since somalia invasion countrywide have been doubled
Budget imeongezeka 3× Number of Recruit has increased Wanawekanga kwa Gazeti kila mwaka like 10pages for a whole week

Kenyatta ndio anaendaga kuwapa graduation ceremony ....this year alone kenyatta has Graduated 7400 troops juzi juzi amekuwa lanet barracks Nakuru for a cadet passout ceremony 1200 cadets



Lakini kamtanzania ndio kana jua kinacho fanyika hapa
 
Nyie mmeshinda vita gani katika historia yenu?
Somalia's al-Shabab killed '180 Kenyan troops' in el-Ade - BBC News
Kenya covers up military massacre - CNN.com
VIDEO: Al-Shabaab Release Film of Mass Raid Attack on Kenyan Forces
 
Lakini jamani wewe Kenya kuna Majeshi sahi yankaribia elfu 60, mwaka wa 2014 yalikuwa elfu 30, 2011 hadi 2016 hiyo ni miaka 5 wanajeshi 800 gawa na 5 hiyo tayari ni wanajeshi 160 kwa mwaka, wengine wagonjwa, wengine wameenda nchi za ng'ambo, yaani wewe unaona eti hiyo ni namba kubwa??? Mkuu hiyo idadi ni ndogo sana kwa kuwa hata haiingii ratio ya 1:50!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…