Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,887
Huna uwezo wa kujieleza kuhusu jambo.If that makes you sleep well at night Tell yourself that...
1. Hujawahi kufika TZ, huijui Dar, hujui BRT ya dar unaanza ku comment vitu usivyo vijua.
2. Unaingiza topic tofauti kabisa kwenye thread ambayo haihusiki.
3. Unataka kila comment ujibu
4. Mahaba na nchi yako yamezidi busara yako kiasi ya kukupelekea uonekane mbumbumbu.
Jifunze kutoa point zenye references na zinazoendana na thread. Kisha jaribu ku control mahaba na nchi yako yasizidi busara maana utaonekana kichaa.