Tanzania Mbioni Kununua Umeme Kutoka Ethiopia

Shida Iko wapi? Ni rahisi Sana na tunapata umeme wa milele. Yatolewa hapo yalipo yanatengenezewa slope na bwawa jingine artificial
Ni ngumu kutengeneza slope..
Slope ipo upande maji yanapotokea kule Uganda
 
Ni ngumu kutengeneza slope..
Slope ipo upande maji yanapotokea kule Uganda
Umayatoa na kwenda kutengeneza bwawa Lingine artificial hapo ndio unayatengenezea slop. Kwani haiwezekani maji haya kufika bwawa na mtera au hili kipya la Nyerere? Kama inawezekana basi Mwanza, kagera au mara linaweza kutengenezwa hydroelectric dam kwa kutumia maji ya ziwa victoria
 
Maji kutoka ziwa Victoria ndio kwanza yapo Tabora.. na hapo zinatumika pump ..

Mkuu pia jua maji yana kitu kinaitwa current... Yaani ukisema utengeneze bwawa artificial.. Lazima utengeneze mkondo... Ili yasiache kuja..
Utajikuta unatumia nguvu kubwa kuyasukuma yaende sehemu ambayo sio asili yake.. Kisha yakifika huko yakijaa uyatafitie njia nyingine ya kutoka.. Ni kazi kubwa..

Kwa Tanzania ni umeme wa gesi, joto ardhi, upepo.. Baadae hata uranium itatumika...
Lakini maji ni matatizo matupu mito mingi imepungukiwa na maji...

Uganda na Ethiopia wana current ya maji ya kutosha ambapo kwao umeme wa maji ni uhakika tofauti na sisi
 
Nilimsikia His excellence Kagame akielezea mkakati wake wa vyungu vya nyuklia Kwa ajili ya uchakataji umeme,I hope project ikikamilika Tanzania tutakuwa wateja wao nambari one
 
Hakuna adui tulienae mkubwa ndani ya nchi hii zaidi ya CCM. Bora tungemuacha mzungu aendelee kutawala kuliko hawa panya road.
SEMA sioni watu WA maana wakuwapa nchi, chadema yamejaa majambawazi tuu, act no hope , CCM angalau
 

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1715100841084940698?t=KkD_rz63F4D1151H6ZvFJw&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…