Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ina viongozi wachumia tumboKwanini mkuu [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina viongozi wachumia tumboKwanini mkuu [emoji1]
Watu kama nyie ndio kama kina makamba, maneno mengi, yule mzee hakuwa na mipango ya hivyo, nakwambia tungekuwa tunavuna umeme sasa hivi. Hayo mambo ya kununua umeme ndio wanaiba hela huko.
Duuuuuuuh, This is Tanzania😡Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea.
=======
Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year.
Last year, the country exported 1701 GW of electricity to three neighboring states namely Sudan, Kenya and Djibouti, and planned to increase the export amount to 2993 GW this year to earn 182 million USD, according to the EEP.
Furthermore, efforts are being made to export power to more foreign countries and talks are ongoing with Tanzania, Moges Mekonnen, Corporate Communication director of EEP told Ethiopian Press Agency (EPA). “If the agreements are completed as per the scheduled date, more electricity will be exported to Tanzania this fiscal year,” he said.
Following a deal that was signed in November last year, Ethiopia has been exporting electricity to Kenya at 6.5 US cents per kilowatt, and in the eight months to August Ethiopia’s export accounted for 70% of Kenya’s nearly 600 GW of electric power import.
An agreement that will enable export of initial 100 MW of electricity after three years has been reached between Ethiopia and South Sudan in May last year. Somaliland, Rwanda and Burundi are other countries who have shown interest to import power from Ethiopia, according to EEP.
The power company has planned to increase its overall revenue including from domestic electricity sales and various services from 22.3 billion birr last year to 30 billion birr this fiscal year. AS
Bila shaka Mr. Upara kishafanya yake huko nje 😡1. Tuliambiwa Bwawa la mwalimu Nyerere likikamilika, Bei ya umeme itashuka na tutauza mwingine nje ili kuongeza pato la Taifa.
2. Bwawa lilipokamilika tukaambiwa Bei ya umeme haitashuka kwa sababu nyongeza ya umeme itauzwa nje ya nchi.
3. Ghafla tunamuona Mtoto wa boss na rais Museveni, tukaambiwa wanajadili namna ya kujenga kituo shirikishi Cha umeme ili watu wa Kagera wapate umeme Bei nafuu.
4. Leo tena tunaambiwa tutanunua umeme wa Ethiopia ili kukidhi mahitaji ya ndani.
CCM 🖕🏿
Ni kweli mkuu.Umbea na ushabiki kwenye vitu hata visivyo tuhusu.
Hahahaaaa.... Usisahau vijana wanahangaika na Ngono zembe.Tunaongoza kwa ushirikina. Tunaweza sana kuiba kura, kubambikia kesi wanaokosoa CCM, Rais na Serikali yake, na ufisadi wa kidogo kinachopatikana. Na unafiki wa kusifia kila kotu kinachofanywa na mtawala hata kama kitakuwa hakina maana.
ShamefulHiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea.
=======
Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year.
Last year, the country exported 1701 GW of electricity to three neighboring states namely Sudan, Kenya and Djibouti, and planned to increase the export amount to 2993 GW this year to earn 182 million USD, according to the EEP.
Furthermore, efforts are being made to export power to more foreign countries and talks are ongoing with Tanzania, Moges Mekonnen, Corporate Communication director of EEP told Ethiopian Press Agency (EPA). “If the agreements are completed as per the scheduled date, more electricity will be exported to Tanzania this fiscal year,” he said.
Following a deal that was signed in November last year, Ethiopia has been exporting electricity to Kenya at 6.5 US cents per kilowatt, and in the eight months to August Ethiopia’s export accounted for 70% of Kenya’s nearly 600 GW of electric power import.
An agreement that will enable export of initial 100 MW of electricity after three years has been reached between Ethiopia and South Sudan in May last year. Somaliland, Rwanda and Burundi are other countries who have shown interest to import power from Ethiopia, according to EEP.
The power company has planned to increase its overall revenue including from domestic electricity sales and various services from 22.3 billion birr last year to 30 billion birr this fiscal year. AS
Kwanini tununue wakati vyanzo tunavyo? Wakati ethiopia wanajenga 10,000mw sie tunajenga 2000mw.Ulitaka ununue Kwa.sh.ngapi? Unajua gas unanunua.kwa.sh.ngapi?
Hatuwezi kuwa tunasubiria vyanzo vikamilike wakati tunaweza pata umeme.Kwanini tununue wakati vyanzo tunavyo? Wakati ethiopia wanajenga 10,000mw sie tunajenga 2000mw.
Uganda na Bukina faso wanajenga 15,000mw kila mmoja sie tunawaza kuagiza kutoka ethiopia, makubwa!
Tumelaaniwa au sisi ni mambumbumbu?
Ujinga wetu unatugharimu. CCM tuipumzishe kwa nguvu
Tuunge umeme kutoka ethiopia 2024 tuuzime kwani bwawa litakuwa limekamilika? However, ile mitambo ya 30mw iliyojengwa nyakato mwanza na kikwete inafanyakazi gani?Hatuwezi kuwa tunasubiria vyanzo vikamilike wakati tunaweza pata umeme.
Ilizimwa maana ni mitambo ya mafutaTuunge umeme kutoka ethiopia 2024 tuuzime kwani bwawa litakuwa limekamilika? However, ile mitambo ya 30mw iliyojengwa nyakato mwanza na kikwete inafanyakazi gani?
umeme utapita wapi, kenya? na unakuja kwa ajili ya nini? SGR? kwani Bwawa la Nyerere si walisema tutatumia hadi utabaki? auHiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea.
=======
Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year.
Last year, the country exported 1701 GW of electricity to three neighboring states namely Sudan, Kenya and Djibouti, and planned to increase the export amount to 2993 GW this year to earn 182 million USD, according to the EEP.
Furthermore, efforts are being made to export power to more foreign countries and talks are ongoing with Tanzania, Moges Mekonnen, Corporate Communication director of EEP told Ethiopian Press Agency (EPA). “If the agreements are completed as per the scheduled date, more electricity will be exported to Tanzania this fiscal year,” he said.
Following a deal that was signed in November last year, Ethiopia has been exporting electricity to Kenya at 6.5 US cents per kilowatt, and in the eight months to August Ethiopia’s export accounted for 70% of Kenya’s nearly 600 GW of electric power import.
An agreement that will enable export of initial 100 MW of electricity after three years has been reached between Ethiopia and South Sudan in May last year. Somaliland, Rwanda and Burundi are other countries who have shown interest to import power from Ethiopia, according to EEP.
The power company has planned to increase its overall revenue including from domestic electricity sales and various services from 22.3 billion birr last year to 30 billion birr this fiscal year. AS
Wakati tunajenga hatukujua inatumia mafuta? Kwahiyo ile pesa imekwenda bure? Kwanini isingebaki kama standby generator ingetumika kipindi hiki cha mgao!Ilizimwa maana ni mitambo ya mafuta
Muulize MwendazakeWakati tunajenga hatukujua inatumia mafuta? Kwahiyo ile pesa imekwenda bure? Kwanini isingebaki kama standby generator ingetumika kipindi hiki cha mgao!
Umewahi sikia kitu inaitwa East Africa power pool? Kama hujui basi jua tuu kwamba Grid inaunganishwa kuanzia Ethiopia hadi Sadc via Kenya,Tanzania na Zambiaumeme utapita wapi, kenya? na unakuja kwa ajili ya nini? SGR? kwani Bwawa la Nyerere si walisema tutatumia hadi utabaki? au
Hii mitambo ilijengwa na kikwete wacha kusingizia wafuMuulize Mwendazake
Aliizima nani?Hii mitambo ilijengwa na kikwete wacha kusingizia wafu
Kwahiyo iliuzwa screpa?Aliizima nani?
Serikali ya CCM achieni nchi kwa wenye uwezo wa kuiongoza. Kwa miaka 60 ya uhuru na rasilimali tulizonazo Tanzania sio ya kununua umeme nje.Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea.
=======
Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries rr this fiscal year. AS