worms
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 978
- 911
Nashukuru sana ndugu kwa ufafanuzi wako.Kwanza niombe samahani kwa wahusika kwani hili si jukwaa husika bwana worms.
Hii ni ndoto yenye ujumbe huu.
Wewe na familia yako wote mliokuwa mmepanda kwenye boti mmezungukwa na uovu, ushirikina mbaya wenye hila chafu (kujiona mko baharini mnasafiri).
Msingi wa maisha ya dada yako umeharibiwa na maisha yote kwa ujumla(kumuona dada yako akiwa uchi ufukweni).
Wewe una msingi mzuri(kujiona umevaa suruali bila shati) ila si mtu wa kukamilisha mambo ama mipango upangayo na hilo limekuletea hila kwa watu wengine (hayo mashilingi uliyoyaona mwilini juu ni hila mbaya ulizovishwa).
Hali ya dada yako italeta ugumu ktk uzazi wake maishani mwake kwa kuwa hatua ya majaribu hayo imekomaa juu yake (kuwaona wafanya mapenzi ufukweni yule hakuwa shemejiyo but other power).
Yawezekana nimeacha baadhi ya key events sijazifafanua sawa lakini ujumbe mkuu ni huo.
Mungu ni mweza kaeni pamoja mtambue hali hiyo ilivyo na kutafuta solutions.
Kweli twahitaji mtegemea sana Mungu.