Tanzania: Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi afungwa jela kwa kumtusi Magufuli Tanzania

Tanzania: Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi afungwa jela kwa kumtusi Magufuli Tanzania

Kwanza niombe samahani kwa wahusika kwani hili si jukwaa husika bwana worms.
Hii ni ndoto yenye ujumbe huu.
Wewe na familia yako wote mliokuwa mmepanda kwenye boti mmezungukwa na uovu, ushirikina mbaya wenye hila chafu (kujiona mko baharini mnasafiri).
Msingi wa maisha ya dada yako umeharibiwa na maisha yote kwa ujumla(kumuona dada yako akiwa uchi ufukweni).
Wewe una msingi mzuri(kujiona umevaa suruali bila shati) ila si mtu wa kukamilisha mambo ama mipango upangayo na hilo limekuletea hila kwa watu wengine (hayo mashilingi uliyoyaona mwilini juu ni hila mbaya ulizovishwa).
Hali ya dada yako italeta ugumu ktk uzazi wake maishani mwake kwa kuwa hatua ya majaribu hayo imekomaa juu yake (kuwaona wafanya mapenzi ufukweni yule hakuwa shemejiyo but other power).
Yawezekana nimeacha baadhi ya key events sijazifafanua sawa lakini ujumbe mkuu ni huo.
Mungu ni mweza kaeni pamoja mtambue hali hiyo ilivyo na kutafuta solutions.
Nashukuru sana ndugu kwa ufafanuzi wako.

Kweli twahitaji mtegemea sana Mungu.
 
Hivi ile hashtag ya Wakenya ya [HASHTAG]#whatMagufuliWouldDo[/HASHTAG] iliishia wapi.
Maana kama Magufuli akija atutawale tutafungwa mamilioni, huku hata tunajiapisha urais kabisa.
Hawakumwelewa nilikuwa Nairobi mwezi wa nne mwaka jana walikuwa wanamwaga sifa sana......usichokijua......
 
Sisi tunarudi nyuma,rais aliyepita alishatufikisha huko, sema sasa hili gari linakula reverse kwa kasi

Mlichagua wenyewe kwa mbwembwe nyingi vifujo na nderemo, kwa hiyo ni kutulia tuli kama tui la nazi anyooshe nchi. Nchi ilikuwa inaelekea kubaya kama Kenya kijana mdogo mdogo anamuita Rais wa nchi ‘mtoto wa mbwa’ halafu anaachwa mpaka bungeni anaingia!!! Haingii akilini kamwe.
 
At this point, you can tell it's there!, there's been too much BS going on already, it feels like we're at the breaking point and the situation might get sour one of these days.

I seriously wish the so called majestic Gov. understand this before all this get out of control. We've been such good kids for too long, and through ups and downs of our Democracy, staying faithful to out beloved Tz despite the disappointments after Oct.25 2015..
Am sorry but it all boils down to one thing. Where are your voters cards? I think it won't be too early to start checking whether they are still in your safe posession. I know you get my drift.
 
Am sorry but it all boils down to one thing. Where are your voters cards? I think it won't be too early to start checking whether they are still in your safe posession. I know you get my drift.

I think I do, and if am right..thing is it's never about us wananchi, rather about them, wenye nchi.
Am not sure if V cards are in use anymore. We'll work hard and die to have Mr X, but at the end of the day, Mr Y will be brought to play.
Unfortunately, it's too bad we don't have control over it.

I was convinced and saw 'CHANGE' in the last election but, here I'm in Kenyan forum venting to Kenyans about my beloved Tanzania! 🙂
 
Don't you worry, what are neighbours for anyway? We've got your backs, no, front, wing? You guys just don't trust us with such stuff nowadays. So, its every man for himself now. Bye, we will try to say hi at the end of the tunnel. 😀 Such a stale joke, but so true.
 
Etii we don't trust you guys [emoji1]

May be this's the right time to do so, as I don't remember when we last did...(I seriously kid) lol!

Talking about the 'end of the tunnel', I don't really see any light from our end, but I guess we about to 'LIT IT UP' ourselves..
Hehe, see you around Jirani! [emoji2]
 
Acha uvivu wa kufikiria chalii
Acheni Bashe alete muswada ndio tujuwe kwanini yule kiongizi alikimbilia kulazwa hospitali, na yule mbunge wa kaskazini alikuwa anafoka.
 
Back
Top Bottom