Tanzania mfumo wa Kidikteta unashidwa CCM amkeni TZ sio China wala Cuba. Utamaduni wa Tanzania tunapenda uhuru na hatufananini kwenye imani, elimu, makabila huwezi kufanikiwa kwenye mfumo kama wa CCM wanaoutaka wa Cuba na China. Lakini kingine hata viongozi wa CCM wanapenda maisha ya kifahari huwezi kufanikiwa kwa mfumo wa CCM. Wakina Musiba na Polepole wanapigania nchi au vyeo!!!!
Tupiganie mifumo
Tupiganie mifumo