Tanzania Military Intelligence vs TISS

Tanzania Military Intelligence vs TISS

Status
Not open for further replies.
Uzi huu na muktadha wa kejeli na dharau sio sawa kabisa!!!!
Chit chat sounds more suitable for the same!!!

Comrades!!!!
 
nadhani MI ndo wale wanapiga kozi Ngerengere -Morogoro na TISS wengi huwa wanachukuliwa mavyuoni na sanasana JKT. hawa jamaa wako njema.. watz wengi tunawajua wale wa kitengo cha PSU na ndo maana tunaidharau hii idara ya Wizara ya mambo ya ndani but wanafanya kazi ya ukweli na amani yetu ni matokeo ya kazi yao nzuri
Chuo kipo morogoro lakn si ngerengere
 
sasa mkuu Moshe Dayan mbona upo kimya hivyo mkuu wangu?.
ukimya wako umesababisha vijana tupige sarakasi kwa bla bla nyingi.hakuna anaye kubari kushindwa na kila mtu anajiona mjuaji.i wish you could share your knowledge about these stuff then we close this thread once and for all.naomba ufanye hivyo mkuu.najua upo busy sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo unakubali kwamba tiss inaweka mawakala wao hadi jwtz?

mkuu tutarudishana kule kule kwenye mabishano yasiyo na tija.nimeshamuomba comrade Moshe Dayan aachie article moja nzito hukusu haya mambo ili tuitumie kama reference ya mjadala wetu lakini pia iwe kama chanzo kikuu cha maarifa.tuvute subira.
 
Last edited by a moderator:
Magumu au yametawanyika kwa usawa wa mahitaji na kutegemea wapi agent anaenda kufanyia operations zake???!!!

"All weather does not necessarily means extreme weather conditions"!!!!

Anyway

Mkuu sasa huyo agent akiwa naye katawanyika sehemu nyingi. Si lazima awe na mafunzo mtawanyiko au?
 
Bado mtawanyiko huo haimaanishi kuwa LAZIMA YAWE MAGUMU KULIKO!!!

Comrade Naona upo smart. Kama una-bip hivi halafu unaghairi!!
Umenikumbusha nyakati nilipokuwa mdogo, kuna dogo alikuwa mtukutu kwenye mpira lakini makini sana
kwenye 'imla'. Hapotezi majira, ana ujazo wa debe hamsini za mafuta lakini mwepesi kama karatasi!!
 
Anga za wenyewe hizi chief; akiba ya maneno!!!
 
Hakika vijana wa leo ni mambumbumbu kweli. Kama huyu.
Unaweza kukuta sio mbumbumbu kama unavyosema. Wengine wanaamua kuwatega ili wahusika wazidi kutiririka tu. Thread kama hizi unaweza kukuta 70% wanaochomekea humu ndio wahusika. Halafu hao wenye majina makubwa mnaowaamini wanaotiririka karibia wote si ajabu ni makanjanja tu na hawajui lolote japo wanajitahidi kutafuta datas hasa kwa Google zinazohusu intelligence carriers halafu wakisha Digest vya kutosha huchanganya na thoughts zao . Sasa wengi humu wanajipatia umaarufu kwa taarifa za kubumba tu. Ninaamini mambo mengi ya intelligence ni Classified na intelligence officer wa kweli hawezi kuwaandikia humu sanasana atakuwa anaandika kama vile hajui. Disguise. Na sisi ma intelligence wa Mbao ndio tunajidai kutiririka na kujibu
 
Mkuu labda unajua zaid ya hawa tunaowaona wanajua na kukubali kujifunza kutoka kwao lakini kama usemavyo kama wanatumia google na kuweza kutuletea mambo tusiyoyajua nini mbaya wa hilo??!!!

Hivi google kwa nyie mnaoijua vizuri kuna hizi mambo zinazohusu hii comparison specifically kwa vyombo tajwa??!!!

Halfu na nyie mnaojua mambo msikae mbali mpaka tunaojifunza tupotezwe njia jamani. Hayo ma classified kaeni nayo ila japo msituache tukapotezwa!!
 
Habari nyingi zinapatikana humo. Ukitaka kujua intelligence organisation za nchi mbalimbali utazipata tu na hata majukumu yao. Hata hizo za kijeshi yaani MI zipo humo na karibia kila Jeshi lina kitengo hicho na hizi idara kazi na majukumu yao ya msingi ni yaleyale sema namna zinavyo operate inaweza kuwa tofauti kulingana na mazingira ya kila nchi. Mfano ushushushu unavyofanyika kwa Taifa kama la Israel ni tofauti na sehemu zingine kama Tz kwa kuwa kule Tishio kubwa ni adui wa nje kuishambulia israel na hapa kwetu kwasasa Tishio linaweza kuwa ni Harakati za kisiasa zinavyokwenda na Suala la muungano ambapo lina maslahi ya kiusalama zaidi. Hivyo uki Google utapata mengi halafu una Digest na ya kwako. Ndivyo tunavyofanya humu kwenye Jamvi halafu tunapata maujiko utadhani Kweli tupo au tuna access na information za hizo ofisi. Labda tu kwa faida ya wengi ni kwamba msingi wa intelligence organisation hapa duniani umetokana na Jeshi ambapo kitengo hicho cha ushushushu kinajulikana kama MI ambapo ulihusu zaidi mambo ya kijeshi ndani na nje ya nchi hasa ktk kujua tishio na uwezo wa adui. Kwa wale wasomaji wa Bible kama utakumbuka wakati musa anawaongoza wenzake kutoka misri kwenda huko kunakosemwa nchi ya ahadi basi katika safari yao hiyo walikuwa wanatuma wapelelezi ili kujua uwezo wa adui au jeshi la nchi watakazopita na mashushushu wake ndio waliomsaidia kuwashinda maadui zake kila alipopita kwani aliwajua vizuri sana.Hivyo baada ya mabadiliko mbali mbali na maendeleo ya mataifa hasa baada ya vita kuu ya Dunia ndipo mataifa mengi hasa makubwa yakaanzisha intelligence organisation zitakazofanya kazi kwa mapana zaidi. Yaani zaidi ya mambo ya kijeshi. Ingawa MI bado ipo palepale. Ndio maana ukienda nchi kama uingereza utakuta wana Defence Intelligence au DI ambayo ipo chini ya wizara ya Ulinzi na wakati huohuo idara yao kama Tiss inaitwa Military Intelligence Section 6 na Military Intelligence Section 5, kwakifupi ni MI 6 na MI 5.Hizi idara zilianzisha na Jeshi kipindi cha vita kuu ya Dunia lakini baadae zikapewa majukumu mengine zaidi na mambo ya kijeshi na hazipo chini ya Jeshi au Wizara ya ulinzi, japo hata baada yakubadilishwa zimeendelea kutumia Jina lake hilohilo tofauti na CIA ilivyobadili japo nayo ukiangalia history background yake ilianzia Jeshini . Hizi facts zote nimepata kwenye Google
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom