'Tanzania Military' ni nani?

mkuu maono yako n makubwa sana, tatizo n hawa tulio waamini watuongoze..
 
Ungefanya ufuatiliaji kabla ya kuja huku.

Hiyo phrase " TANZANIA MILITARY" Iko sahihi kabisa ikimaanisha Jeshi la Tanzania ambalo kiuhalisia ni moja tu, yaani TPDF.
 
Tanzania hatuna Military na bado hatuna sifa hizo.
Hii nchi imejaa vichekesho kila sehemu.
 
Hao ni wachina wamekosea. Probably ni msaada, au malipo ya favor fulani za kiserikali.
Ila siyo kosa ambalo linaweza kuleta sintofahamu, ila lingewahiwa na ubalozi.
 
Hayo mabasi si yameandikwa Tanzania Military Bus?
 
Vitu vingine ni minor sana kupoteza muda kuuliza na kujibu.
 
Kama huitambui TANZANIA MILITARY, kwanini uitambue MILITARY POLICE na sio TPDF POLICE?


Military police inafahamiaka, sawa na idara mbali mbali ndani ya JWTZ ila hili ni jina linaloweza ashiria jina la jeshi letu ila si jina la jeshi letu
 

Hahaha kwani Waliweza kutengeneza hata toothpick waweze complicated project kama kuunda bus? Hujui nchi yako utakua mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…