Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
@KIchunguu, I have earlier stated that the ownership requirement refers to gemstone mining.
Since 2010 have you heard of a single investor who came to Tanzania, invest $100m in equity and gave away half of the company equity? Hakuna hisa hata moja iliyoptolewa bure to the Government na kampuni mpya na hata TanzaniteOne wakifanya hivyo itakuwa kwa sababu wamegeuziwa kibao. Huwezi kujenga mazingira ya biashara kwa 'kuwategeshea' wawekezaji kwa kugeuza masharti kama vile unabadilisha shati, ukifanya hivyo rating ya taifa as an investment destination inashuka.
Kama serikali haikudai hisa za dezo lakini inagawana faida lets say nusu kwa nusu ama kwa percentages ambazo zinaridhisha kupitia mfumo wa kodi why would u consider mining land to be valueless wakati inaingiza mapato?
Kutodai hisa haimaanishi hata kidogo kutoipa ardhi thamani kwa sababu bado unapata mapato from tax.
Ukiwa na shamba lako na unapata malipo kutokana na mavuno haimaanishi shamba lako halina thamani eti kwa kuwa huna hisa katika kampuni inayovuna from your farm.
By defination an asset ama wealth ni kitu chenye manufaa na una legal right to it na kinakupatia manufaa kama vile mapato na sio lazima uwe unamiliki hisa. Serikali yoyote ile duniani ni 'silence mwanahisa' shareholder of any business operatimng in its jurisdiction kwa sababu ina mamlaka kamili ya kutumia sheria kuifanya kampuni ilipe kile ambacho serikali inaona is reasonable. From economic standpoint Serikali tayari ni mwanahisa wa makampuni yote nchini klwa sababu ina uwezo wa kutoa amri za kisheria wafanye lolote lile linalohusiana na mapato ama regulation.
The mining land is not valueless that is why it can attract investors and u can get revenue from investments.
Mtu binafsi ndio analahitaji kuwa shareholder wa kampuni ili awe legally eligible to mapato ya kampouni, serikali ina eligibility amabyo ni natural bila ya kumiliki hisa.
Is that clear? So why all this politics about demanding free shares? That is why I am saying that is vain politics and not economics. Umenifahamu?
Kuhusu umiliki wa share; je umesoma post yangu ya nyuma kabla ya hiyo uliyokwoti? Kuna nchi nyingi sana zinazodai 35% hadi 50% ya revenues za mining ama kwa kupitia taxation au kwa kupitia dividends. Unless sheria hiyo inataka serikali ichukue 50% ya dividends baada ya kulipwa kwa kodi, lakini kama serikali imeamua kujipatia share ya mapato yake kwa kupitia didends na kuachana na kodi kama ambavyo imekuwa haikusanyi kodi, basi sioni ubaya wake. Ngoja nitasoma tena sheria hiyo vizuri kuhusu mgawanyo huo wa mapato; issue pekee inayoweza kusimamisha antennas zangu ni iwapo serikali itakuwa inadai kodi kubwa ya mapato, halafu pia ikadai 50% ya after-tax dividends!
Kumbuka kuwa serikali kumiliki share za biashara yoyote siyo kosa mradi tu haiingilii shughuli za biashara hiyo kiutendaji.