Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
you are distorting your own facts.Ndio maana nimesema hapo awali kwamba wa TZ wanapenda sana hoja za siasa at the expense of economics. The government did not negotiate the new terms, the government dictated new terms.
Mmoja kati ya wawekezaji wa TanzaniteOne ni kampuni inaitwa Blackrock, hii ni moja ya makampuni makubwa duniani na waliowekeza Blackrock sasa hivi wanafahamu kwamba their investments are vulnerable to lose half the value kwa sababu Tanzania inataka kutaifisha hisa zao. Kumbuka kwamba wawekezaji do exchange notes, pia kumbuka kwamba makampuni yanayo manage investments huwa yana rate risk na uamuzi huu unaifanya Tanzania iwe destination ya high risk. What is the cost, maana yake ni kwamba investors will find it not appropriate kuja kuwekeza katika miradi ya muda mrefu kwa kuwa serikali haitabiriki, they will be more interested in short time high return opportunities.
Ni muhimu ukaelewa global investments and how countries are rated from risk perspective kabla ya kutoa kauli za 'kama hawataki waondoke'. Hii sheria inawafurahisha wapenda siasa.
Shareholder and entrepreneur are not synonimous. Anaye incorporate factors of production ni entrepreneur sio shareholder. Please fanya utafiti. MImi nimesema serikali ni 'silent shareholder' sikusema serikali ni 'silent entrepreneur'.
Who cares if it takes us 100 years to get the knowledge, and the capital to extract our own minerals (gemstones, lol)??
Who cares if Blackrock is a humomgous conglomerate that can affect investment in Tanzania?? I don't.
A shareholders Job is not just to inject capital and wait for the benefits ... he/she has to participate in the decision making process ... hence enterpreneurship.
umeanza kuona unajua zaidi ... ver wrong precedent!!
Scarcity will create itself ...remember that.