Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kwa sasa hapa sioni mjadala wa maana; kuna mtu nalalamikia interest zake binafsi huko Tanzanietone na wala halalamikii mambo ya kitaifa. Inapofikia mtu anadai kuwa Tanzaniteone iko listed kwenye stock market ya London kwa hiyo watanzania wakanunue stocks zake huo kama vile watanzania wenyewe hawana stock market yao, unaona kabisa mtu huyu ana matatizo fulani na Tanzania. Kama wako listed London, kwa nini hao Tanzaniteone wasiwe listed Tanzania? In fact mimi nitaka kununua stocks kadhaa wakishakuwa listed Dar, siwezi kwenda kuzifuata huko London au New York, ninazitaka hapahapa Dar.
Kama nilivyoandika huko nyuma, sheria hiyo ina mapungufu yanahohitaji kujadiliwa; lakini siyo mapungufu anayopigia kelele Mheshimiwa H.S. kwa sababu sasa hivi baada ya kuwa ameweka post nyingi sana zinazojichanganya zenyewe kwenye topiki hii hihi imefikia kuwa wazi kabisa kuwa yeye ana ishu zake bianafsi kuhusiana na tanzaniteone. Kushindwa kuonyesha mahala ambapo sheria hiyo ina nationalize business au inalazimisha serikali ipwe 50% ni upungufu mkubwa sana katika hoja zake.

Last edited by a moderator: