Mafanikio ni kuakikisha utu wa mtu unaheshimiwa hayo ndio malengo ya qur,an inayo pingwa na robo tatu nanusu ya watu diniani,hao watu wanadhani wamefanikiwa kwa kutunga sheria zao za hovio kama kuhalalisha ushoga usagaji 50kwa 50 wanaume kuoa wanyama wanawake kuolewa na wanyama hayo sio mafanikio bali ni maendeleo mafanikio ni kufuata maalisho ya muumba na kuacha makatazo yakebasi sawa. lakini hujatuonesha kwa mifano nchi zinazofungamana na imani ya kidini zilivyofanikiwa kuliko zisizo fungamana
Mkiristo hamuombi mungu, bali niwanyanganyi nchi zote zilizoko chini yenu zimehalalisha ushoga na usagaji ndio maana hamtaki utawala wa qur,an mnajua ikitawala mtakatwa vichwaAisee kama hutaki kuishi Tanzania, nenda Sudan , Egypt, Iran au Saudi Arabia wanaoshika Sharia Law.
Unajua ndani ya Sharia Law , Mkristo haruhusiwi kumuomba Mungu wake na adhabu yake ni kifo. Kuna Faida Gani kuwa na sheria isiyompa mtu uhuru wa kuabudu au kuamini anachokiamini.
Hiyo ni dalili ya uzembe wa akili.....Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Wakirito wa kiafirika ndio ndio wanao ongoza bara zima ni warafi majizi hata ulete sheria gani wao ndio wakwanza kuivunja bunge lina tunga sheria kisha hao hao wanazipiga robo tatu na nusu ni wakirito kizazi cha kanisa kibaya sanaKwa hiyo katiba hii ya sasa ya Tanzania inayochota sheria nyingi za kanisa zilizofundishwa pia ktk vyuo vikuu vya elimu ya juu kutoa wanasheria, mahakimu, majaji, wana psycholojia n.k imefeli nchini Tanzania.
Je kufeli kwake ni kutokana sisi kuchukua imani, mafundisho na falsafa mageni yaliyokuja kwa merikebu hivyo ni bora sasa kujaribu yale yaliyofika kwa majahazi au tuamue kuenzi mila tamaduni na elimu za busara za kiAfrika ambazo tumezipuuza na kuzitupa kama siyo kuzizika kabisa ?
Wachambuzi wa sheria za kisekula wanasema katiba na sheria nyingi za nchi mbalimbali zimechota na kukopa sheria za kanisa na kuziweka ndani ya katiba zao.
Hili si jambo geni kwani kanisa kama taasisi kongwe na kubwa ililazimu kuwa na sheria, kanuni na taratibu ili liweze kujiongoza kama taasisi na pia waumini wake .
Ilipokuja mataifa kuundwa wafalme na washauri wao walibaini umuhimu wa taifa au nchi kuwa na utaratibu wa jinsi ya kujiendesha na hivyo watu makini waliokuwa washauri wa wafalme au marais waliamua na kugundua kanisa tayari kwa karne nyingi walikuwa mbele kwa kujiundia na utaratibu wa kujiendesha na kutoa hukumu n.k n.k kuhusu masuala mbalimbali ...
Pepa ya mtanziko baina ya sheria za kidini na zile za ki-secular umefanyiwa utafiti mkubwa na wanazuoni wa University of Chicago nchini Marekani
University of Chicago
https://chicagounbound.uchicago.edu › ...PDF
Conflicts between Religious and Secular Law
by RH Helmholz · Cited by 16 — The canon law claimed the right to decide all such disputes. So did the courts of the King. The common law claimed...
Hizo nchi ulizo zitaja hapo anae peleka chokochoko huko ni kafiriNi kweli ni Katiba Mpya kuhusu Uislam sina hakika maana Somalia, Senegal na Sudani wanazo
Wakirito sio watu wakuabudu bahana bali ni wapigaji tu wamejazana serikali kupiga kila kanisa lipo kupiga tuHapana, siyo kweli, hakuna hilo kwenye "sharia law". Hizo ni sheria za kukataza kuabudu ni za kibinaadam, zinakiuka sharia. Sharia nasema hakuna kukirihishana katika dini.
Zanzibar wanafuata sheria zinazotungwa bungeniVipi Zanzibar hawafati?
China wanasimamia nchi sio wakirito wala sheria zao hazikutngwa na wakirito,hapa kwetu wanabebana hao wakina miujizaMimi nataka iwe kama ya China. Unachagua upigwe kitanzi au uchapwe risasi.
Sio kweli hapa tz hamtaki sababu nyiyi wakina miujiza mtakweshaHatutaki Ukatiri pelekahuko kwa shetani.
Wale vigogo wa china wanaopiga wenzao vitanzi ndio wanaongoza kwa Wizi na matumizi maovu ya mali za china wakihojiwa wanaua wenzao[emoji28][emoji28]
Shoga yoyote lazima apinge sheria za diniDini ni ulevi kama ulevi mwingine. Hapa unaongea kama mlevi.
Duuh!! Ndo mnavyo fundishwa hivyo msikitini?Wakirito wa kiafirika ndio ndio wanao ongoza bara zima ni warafi majizi hata ulete sheria gani wao ndio wakwanza kuivunja bunge lina tunga sheria kisha hao hao wanazipiga robo tatu na nusu ni wakirito kizazi cha kanisa kibaya sana
Wakirito wanachekeshaga sana utawasikia heti wanapinga ushoga ufisadi ukiwambia dawa ya hizo tabia chafu ni sheria ya qur,an waanza kulalama tena hawafai hawa hata buleHakuna tatizo kujadili kwa kina lililo jema kwa nchi yetu, kama sharia itatufaa na ndiyo itayotuondolea ufisadi na maadili mabovu kwanini tusiifate?
Waisilamu ndio wenye uwezo wa kuweka usawa kwa sheria zake,mfano shoga kitanzi fisadi kitanzi mzinifu mawe jambazi kata mkono nkNchi yetu ina dini na madhehebu mengi tofauti na waumini wa madhehebu tofauti tofaut? Kwa nin katiba yetu ibebwe na uislam?
Sheria tunazo tumia zimetungwa kutoka kwa sheria za kanisa sasa zimeshindwa kudhibiti ufisadi na tabia nyingine chafu,bora tutumie za kiisilamuNchi yetu ina dini na madhehebu mengi tofauti na waumini wa madhehebu tofauti tofaut? Kwa nin katiba yetu ibebwe na uislam?
Hivyo ndivyo ulivyodanganywa na wewe unataka kudanganya wengine.Tanzania sio nchi ya kidini mpaka iongozwe na sheria za kidini .
Asikupotezee muda huyo kwanza hajui sheitani maana yake nnKwanini useme hivyo? Nitajie kimoja kibaya kwenye sharia.
Tujadili sharia siyo mleta mada.
Kwa kutumia sharia sipaswi kufanya mabishano na mwanamke ,so good luck [emoji106]Hivyo ndivyo ulivyodanganywa na wewe unataka kudanganya wengine.
Tazama sheria zinazoiongoza Tanzania halafu useme kama sizo zinazoitwa "common laws"?
Nasubiri.
Robo tatu ya watu duniani hawataki sheria za qur,an sababu wengi wao ni watenda makosa wanadhani hita wabanaUko sawa lakini nikuulize ni Nchi gani duniani inayoamini sharia ya Kiislam ni donor Country?
Kwahiyo tufuate utamaduni wa kiarabu na mungu wa kiarabu aitwaye allah????Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.