Mkuu, hii nchi ikiongozwa kwa sharia ya kislamu utaenjoy sana na kujiona umechelewa sana kuunga mkono wazo la dada yetu
FaizaFoxy Allah amzidishie kheri wa barka,,
Katika machache ndani ya sharia,
1 Kuiba kura hakutakuwepo
2 Kuhonga pesa ama kwa njia yoyote ya kupewa kura hakutakuwepo
3 Uonevu na udanganyifu
4 Kuawa pasina hatia
5 Dhulma kwa njia yoyote ile
6 Hakuna kulazimishana katika dini
7 Haki Haki
8 Mikopo ya riba haitakuwepo wala njia yoyote isiyo ya halali
N.k N.k N.k
Kila mtu ataishi kwa amani na furaha bila kujali dini yake