Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naongelea Tanzania unaleta mambo ya Haniyeh. Tanzania tuongelee Samia.Hawa akina Sinwar wanaohubiri sharia si ndo hawa hawa ambao wanatumia misaada ya watu maskini kujitajirisha?Hebu nambie Ismail Haniyeh hakuwa mfanyabiashara,alipataje ubilionea.Yahaya Sinwar vilevile hakuwa na kampuni kubwa,why mke wake ana mpochi wa mamilioni ya Kitanzania?Fedha wanazitoa wapi?
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.