Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Sharia inasema ukikutwa unazini basi wanatakiwa Mashahidi wanne washuhudie... and wakipungua mashahidi basi aliyeshitaki au aliyezusha anakula bakora 12 so huu ni uhalalishaji wa zinaa kwani huwezi kuta mtu anakosa labda ipangwe.. na kwa wanawake akibakwa basi hatoweza pata ushahidi la sivyo awaite mashahidi kisha avue tena nguo na mbakaji aanze tena kutia ili mashahidi waone uume ukiingia ukeni.. Sharia ni upuuzi