Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Wewe mjinga,Kuna wakiristo wengi tu Iran na Wana makanisa yao,misri pia..ni saudia tu ndiyo hakuna kanisa wanasalia kwenye nyumba zao binafsi, mtume aliishi na wakiristo na wayahudi na akiwaacha waabudu wapendavyo ilimradi wanalipa kodi
So umekiri kuwa Saudia hakuna makanisa, maana Saudia wanafuata sharia
 
Hivin unataka Sheri itangazwe na BBC au CNN TV za wakiristo badala ya kupiga propaganda?
Wao wanuamionisha ulimwengu kuwa Uislamu Hauwezi Kutatua Matatizo ya kjamii, Lakni wakisikia Nchi imetangaaza Sheria wananza Kuiandama kwa Vikwazo, kzuia viongozi wake wasiende nNje na Kuanza kutangaza Propaganda kuonesha kuwa zile nchi hazikaliki .
Ukweli ni kwamba Nchi za Magharibi wanogopa Kusimamishwa Kwa Sheria za Kiislamu ,kutaleta Mfumo mbadala na Ule wa Magharibi utaporomoka.

Open your Eyes
Hii ni propaganda?
 
Attachments

Naomba nijibu maswali yafuatayo ?

Katiba ni ya kina Nani ?

Wote ?, Baadhi ? au ni Muongozo wa kuwaongoza wengi no matter wanataka au wanakubali nini ?

Iwapo Katiba ni ya wote watu wenye Itikadi na Imani fotauti iweje Katiba ambayo imejikita kwenye Sheria / Miongozo inayoongoza wachache udhanie kwamba itakubaliwa na wote ?

Nadhani you need to go back to the drawing board...
 
Kongo pia wanamenyana, kwa sababu ya Ukiristo?
Ukabila ukabila ukabila umewamaliza Wakongo na hata Tanzania Magufuri alipotaka kupanda ukabila Mungu alimtoa kwenye kiti cha urais bila huruma maana Mungu alishaibariki Tanzania kwa sala za Wakristo na Waislam ambao wamethamini umoja wao tangu nchi hii ilipopata uhuru.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Nenda kawe mshauri wa Taliban we kibibi usituletee za kuleta hapa unadhani nchi ya bibi yako au
 
Siyo kweli, hakuna jwenye Qur'an ilipokataza kuwa na Rais mwanamke.

Waliokudanganya ni wenye chuji na Uislam.

Sharia haifati mawazo ya binaadam, inafata mafundisho ya Mwenyezi Mungu.
Nitajie nchi ya kiislam inayoongozwa na mwanamke au iliyowahi kuongozwa na mwanamke.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Kama ambayo rasimu ya Katiba iliwekwa hapa, tuwekee Sharia nayo tuone ikoje.
 
Tafadhali usidanganye watu, sheria za Nigeria hazina tofauti na sharia za Tanzania kwa sasa, zinafanana fanana, ushahidi huu hapa:

The Law of Nigeria consists of courts, offences, and various types of laws. Nigeria has its own constitution which was established on 29 May 1999. The Constitution of Nigeria is the supreme law of the country. There are four distinct legal systems in Nigeria, which include English law, Common law, Customary law, and Sharia Law. English law in Nigeria is derived from the colonial Nigeria, while common law is a development from its post colonial independence.[1]

Uongo unakusaidia nini? Tungekuwa na sharia saa hizi wewe unakwenda kula fimbo kwa kusema uongo.
Ndio maana hatuna sharia, zinakinzana na masuala ya haki za binadamu zinazotumiwa na sheria zetu. Tumechelewa kuja na haya mawazo, hapa bongo umagharibi umeshaota mizizi.
 
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Mbona Watalaban wanahaha pamoja na kuwa na sharia ya kiislam? Kwa ufupi kinachoitwa sharia ni ugaidi, uarabu na unyanyasaji wa kawaida tena uchwara
 
Mkuu, hii nchi ikiongozwa kwa sharia ya kislamu utaenjoy sana na kujiona umechelewa sana kuunga mkono wazo la dada yetu FaizaFoxy Allah amzidishie kheri wa barka,,

Katika machache ndani ya sharia,
1 Kuiba kura hakutakuwepo

2 Kuhonga pesa ama kwa njia yoyote ya kupewa kura hakutakuwepo

3 Uonevu na udanganyifu
4 Kuawa pasina hatia
5 Dhulma kwa njia yoyote ile
6 Hakuna kulazimishana katika dini
7 Haki Haki
8 Mikopo ya riba haitakuwepo wala njia yoyote isiyo ya halali

N.k N.k N.k

Kila mtu ataishi kwa amani na furaha bila kujali dini yake
Haya hayafanyiki kwenye majimbo yanayo observe sharia Nigeria.Na infact ndo majimbo yenye watu maskini zaidi Nigeria
 
Mbona Watalaban wanahaha pamoja na kuwa na sharia ya kiislam? Kwa ufupi kinachoitwa sharia ni ugaidi, uarabu na unyanyasaji wa kawaida tena uchwara
Utakuwa umelala ysingizi mzito sana ikiwa Hujuwi walichokipitia Taleban kwa miaka 20 ya kupigana na NATO? Mpaka wakawatowa mbio.

Na kabla ya hapo wamewatowa mbio Warusi baada ya miaka zaidi ya 10 ya kupigana nao.

Tena huko wala usiongee kabisa, marijali wale
 
Ikipita hii wanawake hakuna kufanya kazi za jamii wao kazi yao ni kuburudisha wanaume tu na kulea watoto Muta itachukua nafasi watoto wa Muta watazagaa... mwendo wa kitaliban tu... nadhani itakuwa nafuu maana hili mama litaacha masumbufu yake..
 
Mbona sasa hivi sharia ya ndoa na talaka kwa Waislam ipo na hatuyaoni hayo usemayo?

Kwa sasa tunataka kwa kuanzia sharia tatu tu ziongezwe kwa wote:

1) Ufisadi na wizi.
2) mihadarati.
3) Ushoga.

Tukishaziona raha yake ndiyo tuongeze zingine.

Nakuhahakishia ndani ya mwaka mmoja toka zianze kutumika raia wema wote watataka zingine ziongezwe haraka sana.
 
Kwa hiyo mahakama ya kadhi hamtaki tena mnataka Sharia?!Mabinti kuolewa na miaka 14 nayo mmeamua kuacha muwe na sharia.Ngoja tusubiri bunge lijalo Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi awagonge nyundo
 
Kwa hiyo mahakama ya kadhi hamtaki tena mnataka Sharia?!Mabinti kuolewa na miaka 14 nayo mmeamua kuacha muwe na sharia.Ngoja tusubiri bunge lijalo Palamagamba Aidan Mwaluko Kabudi awagonge nyundo
Kadhi anatekeleza sharia.

Neno sharia ndilo unalolielewa kwa Kiswahili sheria.

Kabudi mwenyewe kama siyo fisadi ataipigia debe sharia.
 
Ikipita hii wanawake hakuna kufanya kazi za jamii wao kazi yao ni kuburudisha wanaume tu na kulea watoto Muta itachukua nafasi watoto wa Muta watazagaa... mwendo wa kitaliban tu... nadhani itakuwa nafuu maana hili mama litaacha masumbufu yake..
Lisikutishe neno "sharia" mbona tayari serikali ya Tanzania imezipenyeza penyeza sharia bila kuzitaja, imepitisha sheria inayofanana kabisa na muta miaka michache nyuma? Unaelewa kuwa kwa sasa ukizaa na mwanamke bila ndoa yoyote ile mtoto anakurithi? Tena sheria ya Tanzania imeenda mbali zaidi, ukiishi nanchepuko miezi sita tu anakuwa na haki zote kama mkeo mliefunga ndoa, haijalishi una ndoa ya kikristo, kipagani au Kiislaam.

Tukiupenda au tusiupende Uislam, Sharia ndiyo mkombozi wetu. Kumbuka hilo.
 
Back
Top Bottom