Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Sheria za kanisa zipi???
 
kuna nchi zaidi ya 37 ambazo ni islamic kiuongozi africa na asia sasa tungechukua hata chache hata 10 kama sample ili tufanye analysis na conclusion ya hoja. Kuhusu kukemea maovu kuna baadhi ya iman hawafuati quran lakini miongozo yao na iman zinakataza uovu je na wao wakisema tufuate iman yao kwa lazima kama vile amri za mungu. Ndoa ya mke 1 na mume 1. tafauti kati ya Mungu wa kwao na wako . Tofauti ya mafundisho ya iman
 
Nchi za ulaya katiba zao zina uzuli gani?kuhalalisha ushoga usagaji mbwa kumla dada kaka kumla mg,ombe sio[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Robo tatu ya watu duniani hawataki sheria za qur,an sababu wengi wao ni watenda makosa wanadhani hita wabana
Kwani makosa ni yapi mkuu????? Kumkataa mungu wa kiarabu na quran yake???? Na kukataa utamaduni wa kiarabu mkuu???
 
kuna nchi zaidi ya 37 ambazo ni islamic kiuongozi africa na asia sasa tungechukua hata chache hata 10 kama sample ili tufanye analysis na conclusion ya hoja. Kuhusu kukemea maovu kuna baadhi ya iman
Mkuu umeongea point na tuanzie na sudan kaskazini
 
Nchi za ulaya katiba zao zina uzuli gani?kuhalalisha ushoga usagaji mbwa kumla dada kaka kumla mg,ombe sio[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Vp pale Doha hakuna mashoga au pale mecca hakuna wasagaji???
 
Unasema usio yajua ndugu kama ungekuwa karibu ningekuonyesha mafanikio ya wakirito walio yatoa saudia Oman kuweti sema hivio hizo nchi zinapinga ushoga ukahaba ulevi kwa nguvu zote
 
Hapana, siyo kweli, hakuna hilo kwenye "sharia law". Hizo ni sheria za kukataza kuabudu ni za kibinaadam, zinakiuka sharia. Sharia nasema hakuna kukirihishana katika dini.
Sasa katiba ya pakstan,afghastan ya talban,sudan na yemen mbona ukibadili dini unauawa????
 
Ugaidi kwa kwenda mbele angalia Sudan wanavyomenyana kwa sababu ya sharia.
Wewe umekunywa viloba duniani nchi inayo tumia sheria za kiisilamu ni 1 nayo wakirito hawalali na wayahudi wanajipanga kuiangusha
 
Mungu sio mmoja bali ni Mungu tu, hahesabiki, kuhusu allah huyo simjui kama anahesabika au la
''BWANA MUNGU WETU NI MUNGU MMOJA, SIKIA EWE ISRAELI''
kumbukumbu ya Taurati 6:4-9
Sikiza, Ee Israeli; BWANA, Mungu wetu, BWANA ndiye mmoja. 5Nawe mpende BWANA, Mungu wako, kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote. 6Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; 7nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyanena uketipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo. 8Yafunge yawe dalili juu ya mkono wako, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yako.

Marko 12:29

Yesu akamjibu, Ya kwanza ndiyo hii, Sikia, Israeli ''Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja''

QAur-an
112:1-5
1.sema Huyo Mungu ni mmoja tu, 2.Huyo Mungu Ndiye anayetegemewa na walimwengu, 3. Hakuzaa, 4.wala hakuzaliwa, 5.Na wala hakuna mfanano wake na yeyote katika viumbe wake.''
 
Mimi nataka iwe kama ya China. Unachagua upigwe kitanzi au uchapwe risasi.
Kupiga risas wamegundua ni gharama mno kwa sabab risas moja mtu mmoja lkn kitanz kimoja kinaweza nyonga hata watu buku km kitatunzwa vzr


Kwa hiyo wameachana na kupiga risas siku hiz ni kamba tu
 
Unasema usio yajua ndugu kama ungekuwa karibu ningekuonyesha mafanikio ya wakirito walio yatoa saudia Oman kuweti sema hivio hizo nchi zinapinga ushoga ukahaba ulevi kwa nguvu zote
Oman wanapinga ushoga???? Upo serious wewe...Saudia na Oman kuna wasagaji na mashoga wengi kuliko afrika mashariki.......Sema wanajificha kwenye kanzu na baibui
 
Unasema usio yajua ndugu kama ungekuwa karibu ningekuonyesha mafanikio ya wakirito walio yatoa saudia Oman kuweti sema hivio hizo nchi zinapinga ushoga ukahaba ulevi kwa nguvu zote
Wakrsto waga wananyanyaswa nchi zote za kiarabu na kiislamu na hata nyumba za ibada wanapangiwa idadi ya makanisa ya kuyajenga.
 
Hapo Iran hao wanwake wenye akili wamegoma kufunika kichwa tu sasa wananyongwa fikilia kumuuwa mtu kisa hataki kufunika kichwa

USSR
Hawataki ukahaba na usgoga,ulitaka waishi kama bongo mume inahesabu watoto 5 kumbe wako 2 tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni mtazamo wako mama yetu .. na tunapaswa kuhuheshimu ingawa maamuzi ya mwisho yatakuwa ya bunge la katiba na rais mwenyewe..

Mimi nadhani pia watu wengine wangetoa maoni yao na mtindo wa katiba wataoutaka.
Mama yako hatakuwa alikunyoyosha miezi sitta sio bule, pongezi kwa mama yako
 
Ni upumbavu wa Hali ya juu.
Kwanza teknolojia ya Iran wameikopi kwa nchi za Wakristo.
Sharia law Yao haikuwapa akili ya kuwa na teknolojia na uchumi imara.
Kama kweli wewe mkiristo mchambia mkaratasi umekopi nn kwa wakirito wenzio wa ulaya?
 
Hiyo ni ya makanisa yanayoruhusu Huo mchezo
Juzi waziri masahuni kafuta usajiri wa kanisa ilala sababu linahubili ushoga na kujipamba usagaji,hii nchi sio muda mrefu itaingia kwenye huo Mtengo sababu makanisa mengi na kazi ya wachungaji ni kusaka pesa kwa hali yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…