All truth23
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 1,215
- 1,401
Bibi bwana!!!!?!Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Ongeza Libya, Somalia, Afghanistan...Sudan Waislam 100% vita haviishi,Syria Waislam 100% vita haviishi je hiyo ndiyo pepo mnayoihitaji?
Ngoja nicheke mie.Hebu angalia mikoa yenye watu wengi kama.Mbeya,Mwanza na Arusha kwanza ndo uongee.Unapooongelea Morogoro unaongelea mjini tu na Dodoma unaongelea wilaya mbili hasa Kondoa.Singida Wakristu wanabeba idadi kubwa wee ongelea pwani tuu na Zanzibar tutakuelewa.Pwani yote angalia idadi ya waislamu, kanda ya kaskazini [emoji117]TANGA ambayo ni jiji ina idadi kubwa ya waislamu kuliko ninyi wapagani, ukija morogoro, dodoma waislamu wapo, njoo singida sasa waislamu walivyo wengi, nenda kigoma, mafia, kilwa n.k, njoo tabora uone, shinyanga na mwanza to bukoba. Utake usitake idadi ya waislamu ni kubwa kuliko wapagani.
Wakihesabu bila udanganyifu utaona kama sio 70% basi ni 80% ni waislamu
Pedophile Muhammad alikuwa anachambia mawemkiristo mchambia mkaratasi
Sharia haipo kwa Waislaam pekee, ipo kwa walimwengu wote.Wewe unaleta fitna sasa. Unajua nchi hii si ya waislaam peke yao halafu unataka kutuletea ujahidina tukatane miguu na mikono. Wengi kwanza hatuna haja na katiba mpya. Hatuoni tatizo na katiba. Tatizo liko kwenye watu/viongozi. Hawana uadilifu. Ufisadi ndio umetawala mioyo ya watu na viongozi wao.
Nchi ikibahatika kupata kiongozi bora haki na maendeleo vinapatikana.
Hawawezinkujichukulia sharia mkononinkamanilibyi sasa, mtu skiibs hata chyoi anachomwa moto.sasa Watanzania wa manzese si watatupiga mawe wote kwa sheria ya uasherati zikiingizwa kwenye katiba?
Sharia inasema mwanamke asiyevaa hijabu afanyajwe?Hiyo siyo sharia, kumbuka wana mila na desturi zao, sharia ndiyo imewafunga gavana.
Na sisi tufunge gavana mapema.
Soma jinsi sharia ilivyofanikiwa kudhibiti maovu Somalia👇🏾Ongeza Somalia,
Wewe hapo tukikuambia uchague kuishi Libya au South Africa utachagua South Africa.Wewe wacha kutaja majina ya nchi tu, sema Libya kuna nini?
Hapo sasa.
Afundishwe uzuri wa kuvaa hijab ("kujistiri) na ashauriwe nanazoeshwe kiutaratibu na walezi wake kuanzia. Mdogo.Sharia inasema mwanamke asiyevaa hijabu afanyajwe?
ok..basi nenda kaishi somalia au iranHili suala la Afghanistan mbona nimeshalijibu sana kwenye huu uzi. Pitia uzi kabla hujakurupuka.
Kwanini nikaishi Afghanistan wakati kwetu ni Tanzania?
Kwani Afghsnistan wana tatizo lipi kwako?
Au kwa sababu wamewatandika na kuwatowa mkuku USA na NATO yao?
Sharia inataka mwanamke asiyevaa hijab Apewe adhabu gani?Afundishwe uzuri wa kuvaa hijab ("kujistiri) na ashauriwe nanazoeshwe kiutaratibu na walezi wake kuanzia. Mdogo.
Hijab maana yake ni stara, kama huelewi.
Jiulize, utapenda dada'ko au mama'ko atoke mitaani bila kujjstiri?
Hijab kisharia ni kwa mwanamme na mwanamke.
Hiyo post #553 inazungumza kwamba "atashauriwa".Kasome tena Post # 553 nimekujibu. Au huelewi unachokisoma?
Ndiyo hukumu yake hiyo, kushauriwa tu, au wewe hukuipenda hiyo? Sharia ni njema sana.Hiyo post #553 inazungumza kwamba "atashauriwa".
Mimi nazungumzia ADHABU. Ushauri sio adhabu.
Nimekuuliza swali.
Mtu asiyevaa hijabu, kwa mujibu wa sharia anatakiwa apewe ADHABU GANI?