Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.

Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.

Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.

Watanzania tusiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.

Tujadiliane.
Bibi bwana!!!!?!
 
Pwani yote angalia idadi ya waislamu, kanda ya kaskazini [emoji117]TANGA ambayo ni jiji ina idadi kubwa ya waislamu kuliko ninyi wapagani, ukija morogoro, dodoma waislamu wapo, njoo singida sasa waislamu walivyo wengi, nenda kigoma, mafia, kilwa n.k, njoo tabora uone, shinyanga na mwanza to bukoba. Utake usitake idadi ya waislamu ni kubwa kuliko wapagani.

Wakihesabu bila udanganyifu utaona kama sio 70% basi ni 80% ni waislamu
Ngoja nicheke mie.Hebu angalia mikoa yenye watu wengi kama.Mbeya,Mwanza na Arusha kwanza ndo uongee.Unapooongelea Morogoro unaongelea mjini tu na Dodoma unaongelea wilaya mbili hasa Kondoa.Singida Wakristu wanabeba idadi kubwa wee ongelea pwani tuu na Zanzibar tutakuelewa.
 
mkiristo mchambia mkaratasi
Pedophile Muhammad alikuwa anachambia mawe

Abu Huraira: Nilimfuata Mtume wakati alikuwa anaenda kujisaidia. Alikuwa haangalii kushoto wala kulia. Kwa hivyo, nilipokaribia karibu naye aliniambia, "Nitafutie mawe ili nisafishie sehemu zangu za siri(au alisema kitu kinachofanana), na usilete mfupa au kipande cha dung." Basi nikaleta mawe katika kona ya vazi langu na kuziweka kando yake kisha nikamwacha. Alipomaliza (kutoka kusaidia) aliitumia mawe kujisafisha. (Sahih Bukhari 1: 4: 157)
 
Sharia , kisa cha kuchekesha mwizi alikamatwa kakatwa mkono 1, kaiba tena kakatwa mguu, kaiba tena kakatwa mkono wa 2 , kaiba tena kakatwa mguu wa 2 , HANA MIGUU NA MIKONO ILA AKAENDA KUIBA TENA WAKAMUUA 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

A thief was brought to the Prophet (ﷺ). He said: Kill him. The people said: He has committed theft, Messenger of Allah! Then he said: Cut off his hand. So his (right) hand was cut off. He was brought a second time and he said: Kill him. The people said: He has committed theft, Messenger of Allah! Then he said: Cut off his foot.
So his (left) foot was cut off.

He was brought a third time and he said: Kill him.
The people said: He has committed theft, Messenger of Allah!
So he said: Cut off his hand. (So his (left) hand was cut off.)
He was brought a fourth time and he said: Kill him.
The people said: He has committed theft, Messenger of Allah!
So he said: Cut off his foot. So his (right) foot was cut off.
He was brought a fifth time and he said: Kill him.
So we took him away and killed him. We then dragged him and cast him into a well and threw stones over him. Sunan Abi Dawud 4410
 
Wewe unaleta fitna sasa. Unajua nchi hii si ya waislaam peke yao halafu unataka kutuletea ujahidina tukatane miguu na mikono. Wengi kwanza hatuna haja na katiba mpya. Hatuoni tatizo na katiba. Tatizo liko kwenye watu/viongozi. Hawana uadilifu. Ufisadi ndio umetawala mioyo ya watu na viongozi wao.
Nchi ikibahatika kupata kiongozi bora haki na maendeleo vinapatikana.
Sharia haipo kwa Waislaam pekee, ipo kwa walimwengu wote.

Au wewe unapenda ufisadi, wizi na uonevu unaoendelea?
 
Afghanistan😂🤣😂 na iran kule wanauana kuhusu kuvaa vilemba wanawake😎🙄🤣😃
Hiyo siyo sharia, kumbuka wana mila na desturi zao, sharia ndiyo imewafunga gavana.

Na sisi tufunge gavana mapema.
 
sasa Watanzania wa manzese si watatupiga mawe wote kwa sheria ya uasherati zikiingizwa kwenye katiba?
Hawawezinkujichukulia sharia mkononinkamanilibyi sasa, mtu skiibs hata chyoi anachomwa moto.

Itafatwa sharia na ukiwa muasharati utahukumiwa kwa viboko hadharani, kwanini uwe muasharati?
 
Ongeza Somalia,
Soma jinsi sharia ilivyofanikiwa kudhibiti maovu Somalia👇🏾

Sura hii inazingatia kama kuna mafunzo ya kujifunza kutokana na uzoefu wa mahakama za Sharia za Mogadishu ambayo ni muhimu kwa amani na upatanisho nchini Somalia. Mahakama hizi ziliibuka mwaka wa 1992 katika kukabiliana na kuanguka kwa serikali. Inasema kwamba mahakama za Sharia zilifaulu pale ambapo nyingine zilishindwa kwa sababu wakati huo huo zilijenga kanuni, mamlaka na desturi zinazojulikana za kitamaduni na kidini, na wakati huohuo zikijibu madai ya wakati huo kwa vitendo. Masomo mawili muhimu zaidi kutoka kwa uzoefu wa mahakama ni: (a) haki nchini Somalia haiwezi kutenganishwa na desturi na mijadala inayohusiana na Sharia; na (b) ni vigumu kuanzisha mamlaka halali ya kisiasa ikiwa nafasi ya kisiasa na viongozi wa kisiasa wanatazamwa na watu wa eneo hilo kupingana na kupinga kanuni za Sharia.

Soma zaidi: The Sharia Courts of Mogadishu: Lessons for Peace and Reconciliation
 
Wewe wacha kutaja majina ya nchi tu, sema Libya kuna nini?

Hapo sasa.
Wewe hapo tukikuambia uchague kuishi Libya au South Africa utachagua South Africa.

Nikikwambia Uchague kuishi Uingereza au Afghanistan, utachagua Uingereza.

Hamna mwislam mwenye ndoto za kuishi Afghanistan, Iran wala Pakistan.

Wote mnandoto za kuishi Ulaya na Marekani.

Mnaongea kitu msichoweza kukiishi.
Watu wa mnyaazi ni wanafiki sana.
 
Sharia inasema mwanamke asiyevaa hijabu afanyajwe?
Afundishwe uzuri wa kuvaa hijab ("kujistiri) na ashauriwe nanazoeshwe kiutaratibu na walezi wake kuanzia. Mdogo.

Hijab maana yake ni stara, kama huelewi.

Jiulize, utapenda dada'ko au mama'ko atoke mitaani bila kujjstiri?

Hijab kisharia ni kwa mwanamme na mwanamke.
 
Hili suala la Afghanistan mbona nimeshalijibu sana kwenye huu uzi. Pitia uzi kabla hujakurupuka.

Kwanini nikaishi Afghanistan wakati kwetu ni Tanzania?

Kwani Afghsnistan wana tatizo lipi kwako?

Au kwa sababu wamewatandika na kuwatowa mkuku USA na NATO yao?


ok..basi nenda kaishi somalia au iran
 
Afundishwe uzuri wa kuvaa hijab ("kujistiri) na ashauriwe nanazoeshwe kiutaratibu na walezi wake kuanzia. Mdogo.

Hijab maana yake ni stara, kama huelewi.

Jiulize, utapenda dada'ko au mama'ko atoke mitaani bila kujjstiri?

Hijab kisharia ni kwa mwanamme na mwanamke.
Sharia inataka mwanamke asiyevaa hijab Apewe adhabu gani?
 
Kasome tena Post # 553 nimekujibu. Au huelewi unachokisoma?
Hiyo post #553 inazungumza kwamba "atashauriwa".
Mimi nazungumzia ADHABU. Ushauri sio adhabu.

Nimekuuliza swali.

Mtu asiyevaa hijabu, kwa mujibu wa sharia anatakiwa apewe ADHABU GANI?
 
Hiyo post #553 inazungumza kwamba "atashauriwa".
Mimi nazungumzia ADHABU. Ushauri sio adhabu.

Nimekuuliza swali.

Mtu asiyevaa hijabu, kwa mujibu wa sharia anatakiwa apewe ADHABU GANI?
Ndiyo hukumu yake hiyo, kushauriwa tu, au wewe hukuipenda hiyo? Sharia ni njema sana.

Au unaijuwa nyingine?
 
Back
Top Bottom