Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

Naongelea Tanzania unaleta mambo ya Haniyeh. Tanzania tuongelee Samia.
Una matatizo ya uelewa?
 
Majimbo yanayofuata sharia kule Nigeria ndo yanaongoza kwa ufisadi na umaskini.Nibishie nikupe data
baongelea matatizo ya Tanzania unaniletea habari za Naigeria.

Kondoo lini mtauacha ukondoo?
 

Hiyo sharia muweke wewe na mmeo katika familia yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…