Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agano la Kale ni Agano la Mungu na Wayahudi ambalo Wayahudi walilivunja.Kwenye agano la kale mungu alikosea.
Basi hizo nchi hazitawaliwi na sharia toa mfano wa nchi zinazo tawaliwa na sharia ili tuone mafanikio yake tujifunze.Nani kakwambia hizo nchi zinatawaliwa kwa Sheria ya Mungu?
Hata hiyo Saudi Arabia haitawaliwi kwa sheria ya Mungu
Ila Ulaya unaruhusiwa kusoma Qur'an barabani na wote wanaoichoma Qur'an hufanya kwa matakwa yao Wala Serikali za Ulaya hazihusiki, kasome Biblia barabarani Saudi Arabia/ Iran uone.Saudi Arabia hawana unafiki unapoomba viza kuna sheria zao uzijuwe moja ukristo Uwe nao mwenyewe tu na sio uwende na biblia yako kueneza ukristo.
Pili hiyo Marekani na Ulaya Unafikiri kuna uhuru Huo unaoufikiria wewe ? Sahau.
Ulaya mpaka Quran zinachomwa moto , jee uliisikia kitabu chochote cha dini kuchomwa moto Saudi Arabia?
Mbona muongo hata yesu hakutenganisha agano wewe nani?Agano la Kale ni Agano la Mungu na Wayahudi ambalo Wayahudi walilivunja.
Agano Jipya ni Agano la Mungu na wanadamu wote wanaotamani kuacha dhambi na kumuamini Yesu Kristo aliyeyatoa maisha yake kwa ajili ya wanadamu wote. Hulazimishwi kuamini na Wala hutashikiwa panga Ili kulazimisha uamini.
Canon law nimeiponda ilipoanza kuruhusu mashoga waowane makanisani. Haifai kabisa.Agano la Kale ni Agano la Mungu na Wayahudi ambalo Wayahudi walilivunja.
Agano Jipya ni Agano la Mungu na wanadamu wote wanaotamani kuacha dhambi na kumuamini Yesu Kristo aliyeyatoa maisha yake kwa ajili ya wanadamu wote. Hulazimishwi kuamini na Wala hutashikiwa panga Ili kulazimisha uamini.
Na wewe ni nani kuniuliza swali kwasababu umehitimisha Mimi ni muongo?Mbona muongo hata yesu hakutenganisha agano wewe nani?
Nchi za Scandinavia(Sweden, Finland, Denmark, Norway, et al) mbona raia wao wanaishi maisha mazuri kupitia katiba na sheria bora.Au na wao wanatumia Sharia za Kiislamu!!Bakwata wanapitia hapa JF, wataiona hoja.
Wewe unapenda ufisadi?
Sharia law tatizo lake linaminya dini za watu.Canon law nimeiponda ilipoanza kuruhusu mashoga waowane makanisani. Haifai kabisa.
Tutahangsika sana, suluhisho letu kwa njia ya mkato ni sharia tu.
Sharia gani inayonyanyasa wanawake kama wanyama.Hatutaki Afghanistan nchini mwetuWengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora wetu na mapungufu yetu ndiyo maana akatuwekea Muongozo ulio bora kabisa. Sharia.
Sharia haijaacha kitu katika mfumo wa maisha ya mwanaadam ya kila siku, kama hatujaifuata sharia ya Mwenyezi Mungu basi tusitegemee mafanikio maisha.
Watanzania tysiopenda ufisadi, wizi na ubadhirifu tuungane na tuitake katiba yetu iwe kwa mfumo wa sharia.
Tujadiliane.
Sisi hapa ni Tanzania na siyo Iran wala Saudi Arabia.Ila Ulaya unaruhusiwa kusoma Qur'an barabani na wote wanaoichoma Qur'an hufanya kwa matakwa yao Wala Serikali za Ulaya hazihusiki, kasome Biblia barabarani Saudi Arabia/ Iran uone.
Switzerland pia hakuna Sharia law ila Ina maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia.Nchi za Scandinavia(Sweden, Finland, Denmark, Norway, et al) mbona raia wao wanaishi maisha mazuri kupitia katiba na sheria bora.Au na wao wanatumia Sharia za Kiislamu!!
Iran na Saudi Arabia ni Waislamu na wameidhinisha Sharia law kama sheria za nchi na ndo nchi hizi tunaziangalia mfumo wake wa kiutawala kwa kutumia sheria hizi.Sisi hapa ni Tanzania na siyo Iran wala Saudi Arabia.
Tunataka tutatuwe matatizo yaliyopo hapa kwetu kwa njia sahihi, na hakuna leo hii duniani kama sharia.
Matatizo ya uisadi yanazidi na sasa ushoga umepamba moto, tutatuwe vipi nje ya sharia?
Onavyo haha kwani kuna mtu hapa kamtaja yesu ndio isa au lah.Na wewe ni nani kuniuliza swali kwasababu umehitimisha Mimi ni muongo?
Hakuna haja ya kujibu swali hili Kwa kuwa Yesu wa Biblia sio Isa bin Mariam.
Utatuzi ni kuliondoa CCM madarakani,tuanze upya!Ukiona wewe una akili zaidi ya matatizo yetu na unao ufumbuzi tueleze ufumbuzi wako utaotatua tatizo.
Mfano, tuna tatizo kubwa la ufisadi wa mali za umma, utatuzi wako ni upi?
Umemtaja Yesu yupi Sasa?Onavyo haha kwani kuna mtu hapa kamtaja yesu ndio isa au lah.
Utatuzi ni kuliondoa CCM madarakani,tuanze upya!
Hapa ni kuchagua chama kisicho na mrengo wa kidini.Utatuzi ni kuliondoa CCM madarakani,tuanze upya!