Tanzania mkombozi wetu wa maendeleo na uchumi ni katiba itayofata Sharia za Kiislam

mambo ya Sharia wacha ndani ya kuta nne za Masjid! hii nchi ina watu wa dini tofauti!

Kana canon law inatumika na haisaidii kitu kwanini isitumike sharia? Au unapenda ufisadi?
 
Kwenye agano la kale mungu alikosea.
Agano la Kale ni Agano la Mungu na Wayahudi ambalo Wayahudi walilivunja.
Agano Jipya ni Agano la Mungu na wanadamu wote wanaotamani kuacha dhambi na kumuamini Yesu Kristo aliyeyatoa maisha yake kwa ajili ya wanadamu wote. Hulazimishwi kuamini na Wala hutashikiwa panga Ili kulazimisha uamini.
 
Ila Ulaya unaruhusiwa kusoma Qur'an barabani na wote wanaoichoma Qur'an hufanya kwa matakwa yao Wala Serikali za Ulaya hazihusiki, kasome Biblia barabarani Saudi Arabia/ Iran uone.
 
Mbona muongo hata yesu hakutenganisha agano wewe nani?
 
Canon law nimeiponda ilipoanza kuruhusu mashoga waowane makanisani. Haifai kabisa.

Tutahangsika sana, suluhisho letu kwa njia ya mkato ni sharia tu.
 
Bakwata wanapitia hapa JF, wataiona hoja.

Wewe unapenda ufisadi?
Nchi za Scandinavia(Sweden, Finland, Denmark, Norway, et al) mbona raia wao wanaishi maisha mazuri kupitia katiba na sheria bora.Au na wao wanatumia Sharia za Kiislamu!!
 
Canon law nimeiponda ilipoanza kuruhusu mashoga waowane makanisani. Haifai kabisa.

Tutahangsika sana, suluhisho letu kwa njia ya mkato ni sharia tu.
Sharia law tatizo lake linaminya dini za watu.
Bila kumtambua Muhammad ni Mtume wa Allah hapo ndo tatizo huanza.
Kwa mfano Mimi natambua Yesu ndo wa mwisho kabisa kutumwa na Mungu wa Ibrahimu, hapo tu nishakuwa "infidel".
Nani anataka sheria za kidikteta?
Kuhusu ushoga ni jambo la maadili tokea kwenye ngazi ya familia na Serikali sio ya kulaumiwa. Wazazi ndo wa kulaumiwa.
 
Sharia gani inayonyanyasa wanawake kama wanyama.Hatutaki Afghanistan nchini mwetu
 
Ila Ulaya unaruhusiwa kusoma Qur'an barabani na wote wanaoichoma Qur'an hufanya kwa matakwa yao Wala Serikali za Ulaya hazihusiki, kasome Biblia barabarani Saudi Arabia/ Iran uone.
Sisi hapa ni Tanzania na siyo Iran wala Saudi Arabia.

Tunataka tutatuwe matatizo yaliyopo hapa kwetu kwa njia sahihi, na hakuna leo hii duniani kama sharia.

Matatizo ya uisadi yanazidi na sasa ushoga umepamba moto, tutatuwe vipi nje ya sharia?
 
Nchi za Scandinavia(Sweden, Finland, Denmark, Norway, et al) mbona raia wao wanaishi maisha mazuri kupitia katiba na sheria bora.Au na wao wanatumia Sharia za Kiislamu!!
Switzerland pia hakuna Sharia law ila Ina maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia.
Hakuna breach of laws Wala nini na hawajajihusishi na vita vya kijinga.
 
Sisi hapa ni Tanzania na siyo Iran wala Saudi Arabia.

Tunataka tutatuwe matatizo yaliyopo hapa kwetu kwa njia sahihi, na hakuna leo hii duniani kama sharia.

Matatizo ya uisadi yanazidi na sasa ushoga umepamba moto, tutatuwe vipi nje ya sharia?
Iran na Saudi Arabia ni Waislamu na wameidhinisha Sharia law kama sheria za nchi na ndo nchi hizi tunaziangalia mfumo wake wa kiutawala kwa kutumia sheria hizi.
Wakristo wa Iran na Saudi Arabia wanaishi kama wakimbizi kwenye nchi zao, kusoma Biblia barabarani ni kosa unaweza fungwa jela.
Ulaya kule hata Vatican mtu anaweza soma Qur'an bila wasiwasi wowote ule.
 
Nilijuaga una akili timamu kumbe ni lipumbavu limoja hivi lisilojua namna ya kufikiri.

Eh ko sheria za kiislam zitatatua shida zetu.

Peleke udini nyumbani kwenu huko.
 
Ukiona wewe una akili zaidi ya matatizo yetu na unao ufumbuzi tueleze ufumbuzi wako utaotatua tatizo.

Mfano, tuna tatizo kubwa la ufisadi wa mali za umma, utatuzi wako ni upi?
Utatuzi ni kuliondoa CCM madarakani,tuanze upya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…