Mwenzio ameshtuka kawachia ujinga wenu wa kusifu na kuabudu...Kamugisha since umefufuka umekuwa msumbufu sana, nakumbuka uliaga humu kuwa una ugonjwa huwezi kupona! Umerudi kimya kimya bila hata kutoa mrejesho uliponaje! Now umejipa kazi ya kusambaza chuki dhidi ya Samia