Mwenzio ameshtuka kawachia ujinga wenu wa kusifu na kuabudu...Kamugisha since umefufuka umekuwa msumbufu sana, nakumbuka uliaga humu kuwa una ugonjwa huwezi kupona! Umerudi kimya kimya bila hata kutoa mrejesho uliponaje! Now umejipa kazi ya kusambaza chuki dhidi ya Samia
Rudi nyumbani mzee kumenogaTatizo lipo wapi? Kuna mtu ameshikiwa mtutu kwenda upande wowote? Mnapigania uhuru lakini mnataka uhuru uwe upande mmoja tu. Kama wao wanafanya mijadala yao na wanapata watu wachache, nyie mnaopata watu wengi (hadi kutoka KENYA😊) mnapata hofu ya nini? Serikali iache kuongea na wananchi kisa kwa kufanya hivyo inaingilia uhuru wa "wanaharakati"? 🙄
Hajashtuka, ni chuki kwa Samia zinamuongozaMwenzio ameshtuka kawachia ujinga wenu wa kusifu na kuabudu...
Mimi hata wazo huwa halinijii kuwa kuna channel TBC. Kuna wakati kwenye redio ya gari, ninapo-tune, inaweza kuingia, nikigundua tu, narusha mbele.Aiseee home kwangu Hadi Binti yangu wa miaka miwili hanaga time na TBC kabisa....sikumbuki mara ya mwisho kuangalia taarifa habari kwangu ilikua lini.
Alikuja Baba Mkwe 2017 kwangu sasa Ikawa inanibidi niwepo home sàa mbili, akawa anapenda sana TBC aagh nikapata kaujasiri Fulani hivi amazing nikamwambia ukweli ....
Hadi Leo na yeye haangalii Wala kufuatilia ujinga, kukiwa na issues ananipigia Nampa taarifa sahihi.
Sasa hivi Nampa updates za Ile kesi fake ya CCM vs Freeman, anafurahi sana
Mzee tulipishana kweny hoja nikapigaa na ngema 😂😂😂Hahahaha! Ulimfanya nini hadi akakuita Mbwa?
Nashukuru Sana mkuu.Kudhulumiwa jambo la kawaida kwenye kutafuta riziki, may be Chief hujawahi kudhulumiwa maisha yako yote, Hongera
Lissu na Lema wapo Kimbiji? 🙄Rudi nyumbani mzee kumenoga
Ova
Sasa wewe umeandika niniTatizo lipo wapi? Kuna mtu ameshikiwa mtutu kwenda upande wowote? Mnapigania uhuru lakini mnataka uhuru uwe upande mmoja tu. Kama wao wanafanya mijadala yao na wanapata watu wachache, nyie mnaopata watu wengi (hadi kutoka KENYA[emoji4]) mnapata hofu ya nini? Serikali iache kuongea na wananchi kisa kwa kufanya hivyo inaingilia uhuru wa "wanaharakati"? [emoji849]
Lissu,lema achana naoo we rudi tuLissu na Lema wapo Kimbiji? 🙄
Mabongolala bado yapo yanasikiliza nakutazamaHivi kuna mtu tena anapoteza kusikiliza ule utumbo wa matv na maredio??
Umeelewa kilichoandikwa?Tatizo lipo wapi? Kuna mtu ameshikiwa mtutu kwenda upande wowote? Mnapigania uhuru lakini mnataka uhuru uwe upande mmoja tu. Kama wao wanafanya mijadala yao na wanapata watu wachache, nyie mnaopata watu wengi (hadi kutoka KENYA[emoji4]) mnapata hofu ya nini? Serikali iache kuongea na wananchi kisa kwa kufanya hivyo inaingilia uhuru wa "wanaharakati"? [emoji849]
Wewe mvimba macho hutaelewa Ila wanaokupatiaga fulana wanaelewa ndio maana wanadhiti MediaHivi upinzani mnahoja gani mpya mnayoweza kumshinda mtu?
Hoja za kuiga kwa wazungu pasipo kuangalia mahitaji yaki ni yapi?
Comments Bora kabisaTatizo lipo wapi? Kuna mtu ameshikiwa mtutu kwenda upande wowote? Mnapigania uhuru lakini mnataka uhuru uwe upande mmoja tu. Kama wao wanafanya mijadala yao na wanapata watu wachache, nyie mnaopata watu wengi (hadi kutoka KENYA[emoji4]) mnapata hofu ya nini? Serikali iache kuongea na wananchi kisa kwa kufanya hivyo inaingilia uhuru wa "wanaharakati"? [emoji849]
huna akili....nincompoop.Sio kwa ubaya, ila naona wewe ni punguani
mwamba kapuyanga hapa hajaelewa maana alichojieleza wala hakifanani na hoja jadiduUmesoma na ukaelewa point yake au umejibu tu??
Tatizo mkizidiwa hoja mnakimbilia neno CHUKI, akili zenu kisodaMada zake zote ni za chuki dhidi ya Serikali ya Samia