Hii site ya speedtest ni ya kiwaki sana, yani kui access tu hiyo site imenichukua almost dakika mbili ku load.

Baada ya kumaliza ku load najaribu ku test speed eti inaniambia 34Mbps.

Yani subscription ya Airtel tu niliyolipia ni 30Mbps lakini mitambo ya hiyo site inadai hiyo speed sio ya kawaida ni zaidi ya Mbps 30.

Wakati huo nime husle kufungua hiyo site.

Nimepima kwenye fast hii ndio speed halisi
 
Hakuna cha mkongo wala nini mbona toka niweke vpn mzigo umesimama vizuri
 
Kwanini tgo ndio uwe vizuri kuliko mingine!!?

Nadharia:-

Tgo users hacked and exposed!!?

Nawaza kwa sauti!
 
Leo nimefika Bank ya DTB nimekosa huduma, kisa hakuna mtandao wa internet.

Je Taifa limekumbana na kiasi Gani cha hasara kwa kukosekana kwa huduma hii muhimu?
 
Mimi nimepata hasara ya kushindwa kuwafundisha watu wangu namna ya kuwa katika viwango ambavyo vitawafanya kuwa baraka kwa familia na Taifa.

Kwa hii hitilafu nimemiss Bwana Elon Musk na Starlink yake. Nchi hii tunalazimishana kuwa masikini
 
Haha wana install programs ili rahisi kuwamonitor..😁
 
Hatimaye Tigo wameanza kutuma sms
 
Hatimaye Tigo wameanza kutuma sms
Je zina ujumbe gani hizo sms.
Muda huu: (Sina hakika kama huduma imerejea kwa asilimia zote), ila siyo mbaya kwa package ya 10Mbps, iwapo hii 7Mbps haitoshuka.
 
Shida ya Tanzania ni siasa.....Tuna wataalamu wa kutusaidia....lakini....
 
Ikiwa zile nchi serious Nape angetakiwa awe nyumbani anatoa Moto ofisi imemshinda
 
Nimejikuta nanunua bando mara mbili kwa Tigo na Voda! Shenzi kabisa dah
Sisi wenye satellite dish hii kitu wala haikua shida,asante sn watoa huduma za internet kwa njia ya satellite we didn’t bother who is down
 
Je zina ujumbe gani hizo sms.

Muda huu: (Sina hakika kama huduma imerejea kwa asilimia zote), ila siyo mbaya kwa package ya 10Mbps, iwapo hii 7Mbps haitoshuka.
View attachment 2989640
Mi mambo bado juu chini kama miguu ya fundi cherehani

Kuna muda speed inapanda na kuwa hivi

Na kuna muda inashuka
 
Mimi ninatumia bundle ya vodacom lakini cha kusikitisha internet haina kasi kabisa. Kulikoni?.
 
Wee faza mgeni humu au...??
Yaani topic zote hizo kuhusu tatzo la internet ujaona... ?
 
Jamani ndio tupo chini ya bahari huku tunaendelea na matengenezo tatizo ni kubwa inaweza kuchukua wiki 2 mpaka 3 hivyo tunaomba muwe wavumilivu tunapambana usiku na mchana.
Kuweni waanagalifu Hidaya asije kuwa yupo huko akawasomba mana sijui kama sio alotung'olea internet yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…