Tanzania na Burundi haziko miongoni mwa nchi zitakazopewa chanjo ya corona

Tanzania na Burundi haziko miongoni mwa nchi zitakazopewa chanjo ya corona

TANZANIA NA BURUNDI HAZIMO KWENYE ORODHA YA WATAKAOPOKEA CHANJO YA - COVID19 - Ta ( 628 X 750 ).jpg

Taarifa inaonyesha kwamba hizi ndio nchi pekee za Africa Mashariki ambazo hazitaambulia Chanjo hiyo muhimu .
 
"Nchi nyingine za Afrika ambazo hazimo katika orodha ya upokeaji wa chanjo ni pamoja na, Equatorial Guinea, Eritrea, Gabon, Lesotho, Madagascar na Ushelisheli" Nchi tajwa hapo juu ni zile nchi za 'gods must be crazy'!🤣🤣🤣
Kwi Kwi Kwi
 
Kwenye hili Anko Magu yupo sahihi, chanjo za Pfizer-BioNTech kutoka kwa billgates zina nia nyingine tofauti na kutukinga...

Waulizeni Malawi wanajua kuhusu billgates na chanjo zake..
Unafikiri unaweza kumkwepa mzungu, kwani tayari chanjo zake ngapi umesha pigwa.
 
Shirika la afya duniani WHO limetangaza mpango wa muda kuhusu jinsi nchi zitakavyopewa chanjo za corona mwaka huu, huku Tanzania na Burundi zikiwa hazimo.

WHO linasema kuwa chanjo hizo ambazo ni dozi milioni 336 za AstraZeneca/Oxford na Pfizer-BioNTech, zitatolewa kwa muhula wa kwanza na wa pili ya mwaka 2021.

Katika awamu hii, nchi zitapewa kwa sawa na 3.3% ya watu katika kila nchi katika mpango huu, kulingana na malengo ya shirikisho chanjo duniani GAVI ya utoaji wa chanjo kwa 3% ya wakazi wa dunia katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka 2021.

Katika orodha ya awali kuhusu mpangilio wa nchi zitakazopata chanjo katika eneo la Afrika Mshariki Tanzania na Burundi hazimo.

Nchi nyingine za Afrika ambazo hazimo katika orodha ya upokeaji wa chanjo ni pamoja na, Equatorial Guinea, Eritrea, Gabon, Lesotho, Madagascar na Ushelisheli

Shirika hilo la afya duniani linasema kuwa nchi ambazo hazimo katika orodha yake ya kupewa chanjo ya corona kwasababu "zilijinunulia chanjo zake zenyewe, hazikuomba chanjo, au hazijawekwa bado katika orodha ya nchi zitakazopewa chanjo ".

Kulingana na orodha hiyo ya WHO za kanda hii ya Afrika Mashariki na Kati zitapewa dozi kama ifuatavyo:
  • DR Congo: 6,948,000
  • Kenya: 4,176,000
  • Rwanda: 1,098,960
  • Sudan Kusini: 864,000
  • Uganda: 3,552,000
Watu watakufa kwa ujinga. Tatizo la chama kimoja tunaliona sasa
 
Ina maana Tanzania hakuna wataalamu wa kwenye maswala ya afya na uchunguzi ili tutengeneze chanjo zetu wenyewe?

Bila shaka vyuo vinatapika mamia ya watu waliobobea huko wako wapi?

Or walikariri kugawa panado walipwe mshahara then wakangonoke wenyewe wanaita kula bata. no disrespect or hard feelings lakini ndio ukweli akili za waafrika wengi ndio ziko hivyo haijarishi amesoma au hajasoma.

Badala ya kuwekeza pesa kwenye afya, elimu na ulinzi tunawekeza pesa kwenye mambo ambayo faida yake kwa asilimia kubwa ya wananchi ni ndogo mno.

Maybe sio kila tech lakini China wanaiba technology kutoka kwenye nchi nyingine kama wao hawawezi kubuni zao.

Well sisupport hizo chanjo ila kama hatuwezi kutengeneza zetu basi ndo hivyo tuendelee kujifusha kwa pilipiki kichaa tano na vitunguu bila kuwa scientifically proven kwamba vinatibu huo ugonjwa just like kinjikitile ngwale maji yanazuia risasi zinazokwenda kasi zaidi ya sauti.
Bro unaonata tunashindwa stiki na miswaki sembuse chanjo vitu vingine tuwaachie mabeberu tu.
 
Back
Top Bottom