Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
"Nimeogopa kwenda kazini" kwa reasom kama hii..labda iwe kazi yako binafsi ila vinginevyo mimi kama bosi wako nitakulima barua hiyo hutakaa usihau kama sio kukupicha chin kabisa kazi..Mfanyakazi mwenzetu kapoteza maisha kutokana na kifua kubana.
Leo wanazika. Kwa kifupi nimeogoba leo kwenda kazini.