Tanzania na Burundi haziko miongoni mwa nchi zitakazopewa chanjo ya corona

Hatukuomba na tulikataa chanjo, ulitegemea nini tofauti na hilo?
 

Taarifa inaonyesha kwamba hizi ndio nchi pekee za Africa Mashariki ambazo hazitaambulia Chanjo hiyo muhimu .
 
"Nchi nyingine za Afrika ambazo hazimo katika orodha ya upokeaji wa chanjo ni pamoja na, Equatorial Guinea, Eritrea, Gabon, Lesotho, Madagascar na Ushelisheli" Nchi tajwa hapo juu ni zile nchi za 'gods must be crazy'!🤣🤣🤣
Kwi Kwi Kwi
 
Kwenye hili Anko Magu yupo sahihi, chanjo za Pfizer-BioNTech kutoka kwa billgates zina nia nyingine tofauti na kutukinga...

Waulizeni Malawi wanajua kuhusu billgates na chanjo zake..
Unafikiri unaweza kumkwepa mzungu, kwani tayari chanjo zake ngapi umesha pigwa.
 
Watu watakufa kwa ujinga. Tatizo la chama kimoja tunaliona sasa
 
Bro unaonata tunashindwa stiki na miswaki sembuse chanjo vitu vingine tuwaachie mabeberu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…