Rabonn JF-Expert Member Joined Nov 7, 2018 Posts 5,789 Reaction score 11,106 Feb 5, 2021 #61 Upepo wa Pesa said: Mfanyakazi mwenzetu kapoteza maisha kutokana na kifua kubana. Leo wanazika. Kwa kifupi nimeogoba leo kwenda kazini. Click to expand... "Nimeogopa kwenda kazini" kwa reasom kama hii..labda iwe kazi yako binafsi ila vinginevyo mimi kama bosi wako nitakulima barua hiyo hutakaa usihau kama sio kukupicha chin kabisa kazi..
Upepo wa Pesa said: Mfanyakazi mwenzetu kapoteza maisha kutokana na kifua kubana. Leo wanazika. Kwa kifupi nimeogoba leo kwenda kazini. Click to expand... "Nimeogopa kwenda kazini" kwa reasom kama hii..labda iwe kazi yako binafsi ila vinginevyo mimi kama bosi wako nitakulima barua hiyo hutakaa usihau kama sio kukupicha chin kabisa kazi..
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Feb 5, 2021 #62 Imagine kwa sasa hivi Tanzania na Burundi zipo katika level moja!
Kyawanjubu JF-Expert Member Joined May 13, 2017 Posts 2,452 Reaction score 2,197 Feb 5, 2021 #63 ivi tunajiona kama tuna dunia yetu?
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,030 Reaction score 20,391 Feb 8, 2021 #64 Tunasubiri